mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Kina husika na kukupa kadi mkuu shauri yako🤔🤔🤔Chama kinahusiana vipi na kupiga kura?![emoji15][emoji15][emoji15]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kina husika na kukupa kadi mkuu shauri yako🤔🤔🤔Chama kinahusiana vipi na kupiga kura?![emoji15][emoji15][emoji15]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jiwe akisikia mavi yanagonga chupi
Sawa labda upo kwenye team jiweSio ramli. Nahuu ndio ukweli mchungu
Nilikuwa sina mpango wa kupiga kura mwaka huu. Ila Sasa nimepata sababu ya kupanga foleni
Hii ni opportunity ambayo yeyote angeitumia.Sawa labda upo kwenye team jiwe
UmekaririVitambulisho vya 2015 vilisha-expire
Unaongelea kura laki tano? Wewe kweli mpuuzi!Mkifikisha kura laki tano ( 500000) kwenye uchaguzi upande wa Rais.nitawasifu sana CHADEMA.[emoji3][emoji3]
Tundu Lissu amepata kura - 405
Lazaro Nyalandu amepata kura - 36
Rosemary Majinge amepata kura - 1
Jumla ya waliorodheshwa 453
Waliopiga kura 442
Hakuna kura ilitoharibika
#NiYeye2020 #TunduLissu2020
Google utamjua tu!!!Hivi huyu Jiwe ndio Nani humu???
Mwenye hotuba ya Lissu wakati anamalizia kuwashukuru wajumbe aiweke humu. Chadema Media wekeni ile hotuba humu. Tuliokuwa tunawlive stream hatukuweza kuiona baada ya wenye fitna zao kukata matangazo baada ya nyarandu kuhutubiaTundu Lissu amepata kura - 405
Lazaro Nyalandu amepata kura - 36
Rosemary Majinge amepata kura - 1
Jumla ya waliorodheshwa 453
Waliopiga kura 442
Hakuna kura ilitoharibika
#NiYeye2020 #TunduLissu2020
Mpuuzi wewe hapo unaepiga porojo . Mtaumbuliwa,yaani kwa makusudi kabisa,kura zenu zinaharibiwa na system.hakuna uchaguzi hapa.JPM ashindane na huyo...unaongelea kura laki tano? Wewe kweli mpuuzi!
Hongera sana kwa uamuzi huu wa busara.Nilikuwa sina mpango wa kupiga kura mwaka huu. Ila Sasa nimepata sababu ya kupanga foleni