Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Kichwa wa kuibua madudu mwaka huu ndo tunampa nchi sasa. Hakuna tena kuchezea vipaji vyetu Tanzania mwaka huu. Big Brain ndo tunawapa nchi. Vilaza wakae pembeni huko
 
Inaonekana Lissu hatajipigia kura sidhani kama alijiandikisha.... Usishangae akaambiwa hana sifa
 
Hakuna, Magufuli tena 2020/2025
 
Tundu Lissu amepata kura - 405
Lazaro Nyalandu amepata kura - 36
Rosemary Majinge amepata kura - 1

Jumla ya waliorodheshwa 453
Waliopiga kura 442
Hakuna kura ilitoharibika

#NiYeye2020 #TunduLissu2020
Mhe. Mgombea kesi yake lini tena?.
 
Tundu Lissu amepata kura - 405
Lazaro Nyalandu amepata kura - 36
Rosemary Majinge amepata kura - 1

Jumla ya waliorodheshwa 453
Waliopiga kura 442
Hakuna kura ilitoharibika

#NiYeye2020 #TunduLissu2020
Maccm wenzangu wamepoteans kama Yanga walivyochapwa mabao na Simba.
 
Tena nimefurahi sana alivyopitiehwa Lissu kugombea ili tutakavyomfyatua asipate kura hata robo ya kura za JPM msianze kusema angekuwa Lissu angeshinda.

Tukutane tarehe 28/10/2020 tuwafundishe kwanini mtoto hakui kwa mzazi, Et Lissu siyo hivi Lissu ana nini cha ziada zaidi ya kupayukapayuka.
 
Mpaka hapo Nyalandu kashinda, Lisu hana uwezo wa kupambana na Nyalandu, Nyalandu ana pesa za kampeni wakati Lisu kapuku hana kitu
Umekula hela ya mwanaume yuleee, sijui utamdanganya nini usiku, lazima akufumue marinda.
 
Ndoto za CHADEMA waga zinanipaga moli sana, nakumbuka Zile taarifa za 2009 ati Dr Slaa rais wa mioyo ya watu
 
Kuna wahuni leo wanakesha wanamkalia vikao. Jinsi gani sheria itatumika🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…