Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Kwamba Salum Mwalimu ndo mgombea mwenza. Yaani ikitokea Lissu kapata changamoto ikapelekea yeye kushindwa kuongoza Salum Mwalim ndo anakuwa rais wa JMT😀. Mambo mengine yanachekesha sana
Mama Suluhu ana lipi la ajabu? Hana anachojua zaidi ya kufunga shungi tu. Ukweli mchungu nje ya cheo mama Suluhu ana umaalumu wowote?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pindi unaposikia usiyempenda kaja tena View attachment 1525537
Bungeni harudi. Anagombea urais ambao anajua hata upata. Haina ubishi kwamba rais atakuwa JPM kwa ushindi usiopungua 90%. Akina Lissu, Lipumba, Membe na yule wa NCCR watagawana hiyo 10% kunogesha demokrasia tu.
 
Sijui kwann nahisi kuna watu wazito wa chama kubwa wapo upande wa upinzani kuonyesha dunia Tz ni nchi ya kidemokrasia hata upinzani unaweza pewa nchi ukishinda ili warudi 2025. Chama kubwa hakina wasaliti wazito kweli? Yule aliyehama akimsapoti tu huyu aliyetoka nje, basi theory hii kwangu inaweza kuwa ya mashiko.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119],hawa wanaleta utani na taasisi ya Urais,yaani hao "machekibobu" waongoze nchi!!...
Kama kaweza kichaa atashindwa smart Lissu!!
 
Tarehe 28 mtu anapandishwa kizimbani kesi inaonekana mshtakiwa ana kosa la kujibu anahukumiwa miezi kadhaa jela dhamana inapigwa dana dana kwa mda mchache ili mtu kwenye urais ainekane hafai maana tayari katiba inasema mgombea urais asiwe na kosa aú doa lolote ambalo alishafikishwa/kushtakiwa mahamakani hapo tayari doa kwake hafai.hivi mnaijua serikali nyie?
 
Mkuu ikiwa kweli hiyo furaha kila kona Nchini itakuwa ni kubwa sana si ajabu ya kushinda hata ile ya December 9, 1961.
Acha tu mkuu... Huyu mkoloni mweusi ccm lazima aondolewe
 
Reactions: BAK
Nitakwenda Ibiza kula Bata kwa siku Moja. To akishinda
Kule kwa watani zangu kina mshana Jr,Eli mshana.....nitaweka billboard Ya makande....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…