Hahahaaa...... πππ€£π€£Kwahiyo walivyo nunuliwa kwa pombe na pilau, hivyo washindi wamechaguliwa na pombe na pilau? [emoji23]
Hata wewe unaruhusiwa kuota.
Hata wewe hakuna anaye ku mind!Simpendi lissu.
Kazi sana nchi hiiHahahaaa...... [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Another IdiotTarehe 28 mtu anapandishwa kizimbani kesi inaonekana mshtakiwa ana kosa la kujibu anahukumiwa miezi kadhaa jela dhamana inapigwa dana dana kwa mda mchache ili mtu kwenye urais ainekane hafai maana tayari katiba inasema mgombea urais asiwe na kosa aΓΊ doa lolote ambalo alishafikishwa/kushtakiwa mahamakani hapo tayari doa kwake hafai.hivi mnaijua serikali nyie?
Unayo hiyo damu ya kumwagika?Awamu hii patachimbika, hakuna kauli ya "tumuachie Mungu". Hata uvumilivu nao una kikomo.
Kama CCM watashinda iwe kwa haki na sio kwa makandokando kama chaguzi zilizopita.
Kama damu itamwagika katika harakati za kupigania haki acha imwagike tu, binafsi niko tayari kwa hilo.
Kama unalijua hilo huyo mtu wenu anagombea ili iweje?kama kila kitu ni ccm atulie tu[emoji3][emoji3]
Umempatia kweli huyo changuHapa tunaangazia maslahi ya taifa. Siyo mapenzii
Haya. Tulia tuyaone.
Nenda night club utawapata wengi tuu wakuwapenda ujichagulie.
Nina wineUnayo hiyo damu ya kumwagika?
Twende bandarini tukaligomboe lile bus, au vipi?Lissu ndiye rais wako
Ni shida sn mkuu maana wale maadui umasikini, ujinga na maradhi bado wametaradadi........Kazi sana nchi hii
Pompeo... kwani pompeo mTanzania?pompeo nae atapiga kura?Tusha mkabidhi Pompeo kila kitu
Twende bandarini tukaligomboe lile bus, au vipi?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji2211][emoji2211][emoji2211]Nina wine
Pompeo... kwani pompeo mTanzania?pompeo nae atapiga kura?
Kuna swali lolote la maana?Elewa kwanza swali lililo ulizwa ndiyo nawe uje na mchango wako
Elf 10-20 inakosesha kiongozi bora, halafu hapo hapo wakisha kunywa na kulewa zikiisha tu pombe kichwani shida ziko pale pale uwiii!Ni shida sn mkuu maana wale maadui umasikini, ujinga na maradhi bado wametaradadi........
Hebu acha kuishi kwa uongo uongo wewe.Linakuja tu wala usikose raha utaliona sasa hivi lipo kwenye chumviView attachment 1526420