Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Tarehe 28 mtu anapandishwa kizimbani kesi inaonekana mshtakiwa ana kosa la kujibu anahukumiwa miezi kadhaa jela dhamana inapigwa dana dana kwa mda mchache ili mtu kwenye urais ainekane hafai maana tayari katiba inasema mgombea urais asiwe na kosa aú doa lolote ambalo alishafikishwa/kushtakiwa mahamakani hapo tayari doa kwake hafai.hivi mnaijua serikali nyie?
Another Idiot
 
Awamu hii patachimbika, hakuna kauli ya "tumuachie Mungu". Hata uvumilivu nao una kikomo.

Kama CCM watashinda iwe kwa haki na sio kwa makandokando kama chaguzi zilizopita.

Kama damu itamwagika katika harakati za kupigania haki acha imwagike tu, binafsi niko tayari kwa hilo.
Unayo hiyo damu ya kumwagika?
 
Linakuja tu wala usikose raha utaliona sasa hivi lipo kwenye chumvi
Twende bandarini tukaligomboe lile bus, au vipi?
FB_IMG_1552389461882.jpeg
 
Back
Top Bottom