Yametimia, Mahakama Kuu yaamuru Paul Makonda ashtakiwe

Makonda akisulibiwa basi kuna uwezekano mkubwa wa kukamatwa na Yule Jamaa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani. Unyama wa Makonda ulishamiri Sana wakati wa Uwaziri wa huyo Jamaa.

Na Jamaa mwenyewe ni yule aliyewahi kumgonga punda akiwa njiani toka kwao Singida. Ingawa sasa hivi kaota tena mapembe.
 
Hiyo ni ruhusa ya kushitakiwa na si kukamatwa, mambo mawili haya ni tofauti.
 
Pumbavu.
 
Magazeti ni Mwananchi, Uhuru, Dailynews, Habari Leo, Mzalendo. Mengine yanatoa company!
 
Kama ni gazeti ina maana lipo kwa muuza magazeti ulikuwa na uwezo wa kupiga picha ukatuwekea hapa tushabihishe habari yako.

Maana nowdays umekuwa unapika majungu sana na kuwatakia wengine mabaya as ile tabia yetu ya ovyo ya kiafrika.
Pumbavu.
 
[emoji769]Kama hazijakamilika izi Taarifa. Mr. Paul Makonda ajitokeze na kulishitaki ili gazeti, mahakamani, ili gazeti lifungiwe au mnaonaje? Wadau
 
Makonda amekuwa mkimya sana.tangu pale mwanzo Hilo gazeti waliposema atapandishwa mahakamani tarehe 3 mwezi wa 12 mwaka jana.anaona wanapiga kelele tu.hawezi kujikaanga kwa mafuta yake.
[emoji769]Kama hazijakamilika izi Taarifa. Mr. Paul Makonda ajitoleze na kulishitaki ili gazeti, mahakamani, ili gazeti lifungiwe au mnaonaje? Wadau
 
[emoji769]✓Jamaa gani huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…