Yametimia, Mahakama Kuu yaamuru Paul Makonda ashtakiwe

Utakachokipata hutaamini usifikiri upo JF basi upo sawa
Sijui hata nikujibu nini ili ionekane kuwa sina nia ya kukuvunjia heshima!Kuna kitu gani ambacho nimeandika hapo ambacho nimemsingizia mtu?Rais anaehamasisha ufisadi kwenye serikali yake siyo fisadi?
 
wacha wavuane undersketi
 
Makonda anaonewa sana na watu wa nchi hii, sijui aliwakosea nini mtoto wa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha alikula raha kuliko sisi wote kipindi kile sasa ataenda kula msoto pia ajiandae
Hhaahahahahh Makonda anaonewa sana, mara mseme ameiba vyeti , mara kavamia studio za clouds, yaani yote hiyo kumchafua tu. Ningekuwa mimi ni Makonda ningeenda kuishia Butiama kwa baba wa Tanganyika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hhaahahahahh Makonda anaonewa sana, mara mseme ameiba vyeti , mara kavamia studio za clouds, yaani yote hiyo kumchafua tu. Ningekuwa mimi ni Makonda ningeenda kuishia Butiama kwa baba wa Tanganyika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ivi kwenye kuiba vyeti aliwahi toa ushahidi kwamba si kweli

Kwenye kuvamia studio ushahidi ulitolewa vp aliwahi sema si yeye

Huyu kinacho mponza n dharau na ujivuni wa kijinga

Absolutely Chief.
 
Mpaka hivi sasa Umebahatika Kumzalia Watoto wangapi kwa Msaada wa Madaktari wa Maabara?
 
Mbona jamaa siku hizi hatokei mbele ya vyombo vya habari.
Anahangaika kutaka Kuiuza Hoteli yake Kubwa, ya Kifahari na ya Kifisadi Mkoani Mwanza ili ajipange Kukimbia nchi baaada ya Kumaliza Masomo yake ( Masters Degree ) anayoifanya sasa katika nchi Moja Rafiki mno na Tanzania iliyoko ukanda wa SADC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…