Yanayoendelea katika uwanja wa uhuru katika kuaga mwili wa Rais Magufuli

Kundi la wapotoshaji lipo tweeter linaongozwa na wajinga wachache wasiojielewa
Wamejaza chuki chuki kwenye mioyo yao
Mungu awasamehe kwa kupotosha watu
 
Haisaidii kitu, tupo na utawala mwingine sasa. Mabaya aliyofanya tutamsamehe, mazuri yataendelezwa. Kuanza kuita watu umbwa ni dalili ya kulazimisha mambo.
Ungepita kimya, hii PAAAH ni imekupata panako.
 
Kundi la wapotoshaji lipo tweeter linaongozwa na wajinga wachache wasiojielewa
Wamejaza chuki chuki kwenye mioyo yao
Mungu awasamehe kwa kupotosha watu

Chuki alianza nani? Kati ya hawa na Yule aliewapiga risas na kuwateka?
 
Serikali&chama wamefanya kazi kubwa wamesomba watu kutokana kila kona ya Nchi kuonesha kwamba mwamba alikuwa napendwa.
 
Rafiki silali Lodge, pale kuna rafiki angu atani-accomodate. It is like home
Sikuwa Na Maana Utalala Lodge
Nimepata Taarifa Watu Wataruhusiwa Leo Kuingia Uwanjani. Dodoma Ilitakiwa Siku 3
Kuna Watu Wametoka Iringa, Singida, Manyara
Wilaya Jirani Wapo Hapa Kwaajili Ya Kesho
 
Salute kwako natamani nikutumie ya mafuta kifo cha mzee Magu sikwenda kazini niliumia usiku had mchana ndio kiongozi nitakaye wasimulia wanangu wakikua.
Usijali mkubwa! Nimejikamilisha. Nilipiga full tank pale Puma Msamvu!

Nami my next kid akiwa boy nitamuita Magu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…