Yanayoendelea katika uwanja wa uhuru katika kuaga mwili wa Rais Magufuli

Hapa ndo nimefika hapa Mikese, nakaribia mizani. Pale Uhuru nimechemka kabisa
Acha ujinga, tafuta ugali wa watoto. Mwenzio amekanyagwa na umati pale Uhuru akafa, ameiacha familia yake
 
Yaani mzee ni hero wangu na celebrate maisha yake
 
Hayo siyo maisha, ni kifo. Nimesema mwenzio hakutulia nyumbani, amekanyagwa pale Uhuru akafa, wewe unasema maisha!
Naskia pale Taifa na airport kuna watu wamepoteza maisha
 
Hapo ungefanya juhudi uende chato kuna utamwona wiki nzima
 
E
Haisaidii kitu, tupo na utawala mwingine sasa. Mabaya aliyofanya tutamsamehe, mazuri yataendelezwa. Kuanza kuita watu umbwa ni dalili ya kulazimisha mambo.
Kwa lipi mkuu Mimi na siasa mbalimbali...ndiyo tupo na utawala mwingine ila kwa sasa tunaongelea kilichopo.
.note that. Mzee amepewa heshima sana sana kuliko mlivyotegemea.
 
U
 
E

Kwa lipi mkuu Mimi na siasa mbalimbali...ndiyo tupo na utawala mwingine ila kwa sasa tunaongelea kilichopo.
.note that. Mzee amepewa heshima sana sana kuliko mlivyotegemea.
Heshma ukiwa mfu yafaa nini......... Ndcho
alicho alichotaka mzee kuwa afe aonyeshwe hyo heshma.... Mtu akfa has nothing to loose or gain. Hakuna haja ya mabshano labda kumuombea mema kma Imani yake yaruhusu
 
Mmmh labda kwa nyie wa kiume, mi nilikuwa na wajeda wengi wao walikuwa wa kiume na ndo walikuwa wanasaidia kunipush mbele ili nisibaki nyuma, yaan kiufupi wao ndo walinifikisha hadi kwa hayati...

Utakuwa umebarikiwa Madam. Mana Sisi wakina baba hata kama tuna ukomando mbele yenu hatuwezi kitu. Pale kila mtu alitaka aonekane a Gentleman. Mkate mbele ya chai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…