Uchaguzi 2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

Kule waliposhinda kina Ester Bulaya hakuna wanaume au unapost ili uonekane umepost
 
Huyo jamaa namfahamu, ni mpole mpole, mlokole flani hivi lakini ni mpenda haki sana balaa, hivyo akipitishwa na chama nakwambia patachimbika huko Kyela.
Unajua kyela inastahili kilichobora kuliko hivi Sasa.Mwakyembe amefeli Sana Hilo jimbo
 
Kweli wanawake wana msimamo sana
 
Huyo jamaa namfahamu, ni mpole mpole, mlokole flani hivi lakini ni mpenda haki sana balaa, hivyo akipitishwa na chama nakwambia patachimbika huko Kyela.
Mwanyamaki hajagombea ?

Nimeona kule Rungwe Mwambigija kapigwa chini na Sophia Mwakagenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…