rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Kule waliposhinda kina Ester Bulaya hakuna wanaume au unapost ili uonekane umepostHalafu mbona wanawake wanashinda sana kura za maoni hapo Dar kwa CHADEMA, naona kwa leo tu kuna Agness Lambart ameshinda Segerea, Susan Lymo Kinondoni, na Lucy Magereri huko kigamboni, bado hatujaongelea kawe ambapo mdee lazima atachukua, kuna ukonga alishindaga Asia Msangi dhidi ya Waitara na najua hata this time atashinda. Wanaume wa Dar wa CHADEMA mnakwama wapi?