Uchaguzi 2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

Mbona Chadema mnawakata waislamu?
shekhe Ponda alisemee hili la Chadema kuwabagua waislamu wenzetu.
 
Chema ni chema tu. Kongole ziende kwa Bulaya na hata wapiga kura wake wakapate kuliona hilo. Tafadhari Mzee Wasira, muda umekutupa mkono, jikite tu kwenye ibada na maombi ya kiroho ili upate kukamilisha siku za uhai wako ulizotengewa na za ubatili hapa duniani.
 

Mimi sijasema kamati kuu wamchukue kwa kuwa ni icon

Comment ya Kwanza kabisaa nimesema nachukizwa na kamati kuu kuteua mtu mwingine.

Mbona hivyooo....!!
 
Tyson akalee wajukuu. Bunda tupo pamoja na Mh. Esther Bulaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…