Na haya madume suruali mengine VIPI? Kina Lijualikali, Cecil Mwambe, nk. Bado wanastahili kuvaa suruali?
Weka akiba ya maneno
Kwa hiyo mwaka huu mtatuletea wanawake kila jimbo?
Ukiachana na yule wa Babati wanawake hawakuunga mkono juhudi.Kiukweli kina mama angalau msimamo upo, ukimwangalia ester matiko, Ester Bulaya na Halima Mdee kwa uchache.
Masatu wasira? ni mtoto wa mzee Tyson wa Bunda au ?
Mbona nyinyi na lichama lenu hamjaweka wanawake kugombea nafasi ya mwanamke?Erythrocyte, Mgombea uraisi pia apewe mwanamke!
Samia Hassani suluhu!Mbona nyinyi na lichama lenu hamjaweka wanawake kugombea nafasi ya mwanamke?
Mavi ya kima,Lissu ana lipi la kumsumbua Magufuli na wewe unajua ikulu kwa upinzani ni ndoto!Yaani yote hiyo nikutushawishi tusimuweke Lissu?
Lissu yupo palepale, na jambo moja jema alilofanya Magufuli ni juzi kuwaita wanaccm na wasanii katika sherehe kubwa ya kuiaga Ikulu pale Chamwino.
Hakika sherehe ilifana sana kwenye hiyo SEND OFF.
Anagombea viti maalumu.Mbatia anagombea wapi maana Vunjo wanamtaka Dr Kimei!
DuuuhChema ni chema tu. Kongole ziende kwa Bulaya na hata wapiga kura wake wakapate kuliona hilo. Tafadhari Mzee Wasira, muda umekutupa mkono, jikite tu kwenye ibada na maombi ya kiroho ili upate kukamilisha siku za uhai wako ulizotengewa na za ubatili hapa duniani.
Mwanaume Hana ubavu wa kuvumilia masimango, manyanyaso, hata kidogo!! Kwa sababu anaamini kuweza Kwa kila jambo, kujiuza ni mtazamo wa uduni na fikira kandamizi zisizo na ushahidi hata kidogo!Na haya madume suruali mengine VIPI? Kina Lijualikali, Cecil Mwambe, nk. Bado wanastahili kuvaa suruali?
Esther Bulaya ameshinda kura za maoni Bunda mjini kwa tiketi ya Chadema.
Jumla ya 128
Kura za Hapana 2
Kura za Ndio 126
Kura zilizoharibika Hakuna
Bulaya alikuwa ni mgombea pekee kama JPM
Maendeleo hayana vyama!
Ina maana majimbo yapo 12 tu mkuu?Kimsingi nafurahi kuona wanawake wakipambana katika michakato ya KIDEMOKRASIA na kushinda ndani ya chama. Hii ni hatua kubwa. Inadhihirisha hakuna ukiritimba wa mifumo dume. Wanawake wengi hadi sasa wameshinda kura za maoni. Ni taswira nzuri kwa taasisi imara ya kisiasa. https://t.co/Tdx4hA9aLn
List iko kama ifuatavyo kwa walio chaguliwa akiwepo Catherine Luge
View attachment 1506137
Wamejaa humu wanajikomba kwa MboweMwanaume Hana ubavu wa kuvumilia masimango, manyanyaso, hata kidogo!! Kwa sababu anaamini kuweza Kwa kila jambo, kujiuza ni mtazamo wa uduni na fikira kandamizi zisizo na ushahidi hata kidogo!
Ukimwona mwanaume anabadirsha sauti yake Wakati akimtaka demu ujue huyo siyo mwanaume, Mwanaume wa ukweli haogopi maisha, hawezi kujikomba Eti aendelee kunyanyasika Kwa sababu anahofia maisha baada ya hapo, huyo atakuwa demu tu!
Hahahahaa
Erythrocyte, Mgombea uraisi pia apewe mwanamke!
Siyo yale makopo ya Mbogamboga [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hao msingi wao ni viti maalum; wamejihakikishia wakishindwa majimboni wanapitia viti maalum. Wale wa kiume wanajua nao namna ya kuendelea kuwa wabunge kpitia majimbo lazima wabadili chama kama kile walimo hakiwahakikishii ushindi.Kiukweli kina mama angalau msimamo upo, ukimwangalia ester matiko, Ester Bulaya na Halima Mdee kwa uchache.