Uchaguzi 2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

Uchaguzi 2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

Yaani yote hiyo nikutushawishi tusimuweke Lissu?
Lissu yupo palepale, na jambo moja jema alilofanya Magufuli ni juzi kuwaita wanaccm na wasanii katika sherehe kubwa ya kuiaga Ikulu pale Chamwino.
Hakika sherehe ilifana sana kwenye hiyo SEND OFF.
Mavi ya kima,Lissu ana lipi la kumsumbua Magufuli na wewe unajua ikulu kwa upinzani ni ndoto!
 
Kimsingi nafurahi kuona wanawake wakipambana katika michakato ya KIDEMOKRASIA na kushinda ndani ya chama. Hii ni hatua kubwa. Inadhihirisha hakuna ukiritimba wa mifumo dume. Wanawake wengi hadi sasa wameshinda kura za maoni. Ni taswira nzuri kwa taasisi imara ya kisiasa. https://t.co/Tdx4hA9aLn

List iko kama ifuatavyo kwa walio chaguliwa akiwepo Catherine Luge

IMG_20200714_080837.jpg
 
Chema ni chema tu. Kongole ziende kwa Bulaya na hata wapiga kura wake wakapate kuliona hilo. Tafadhari Mzee Wasira, muda umekutupa mkono, jikite tu kwenye ibada na maombi ya kiroho ili upate kukamilisha siku za uhai wako ulizotengewa na za ubatili hapa duniani.
Duuuh
 
Na haya madume suruali mengine VIPI? Kina Lijualikali, Cecil Mwambe, nk. Bado wanastahili kuvaa suruali?
Mwanaume Hana ubavu wa kuvumilia masimango, manyanyaso, hata kidogo!! Kwa sababu anaamini kuweza Kwa kila jambo, kujiuza ni mtazamo wa uduni na fikira kandamizi zisizo na ushahidi hata kidogo!

Ukimwona mwanaume anabadirsha sauti yake Wakati akimtaka demu ujue huyo siyo mwanaume, Mwanaume wa ukweli haogopi maisha, hawezi kujikomba Eti aendelee kunyanyasika Kwa sababu anahofia maisha baada ya hapo, huyo atakuwa demu tu!
 
Esther Bulaya ameshinda kura za maoni Bunda mjini kwa tiketi ya Chadema.

Jumla ya 128

Kura za Hapana 2

Kura za Ndio 126

Kura zilizoharibika Hakuna

Bulaya alikuwa ni mgombea pekee kama JPM

Maendeleo hayana vyama!

Kwahiyo fomu ilichapishwa moja kama mgombea yuleeee.
 
Kimsingi nafurahi kuona wanawake wakipambana katika michakato ya KIDEMOKRASIA na kushinda ndani ya chama. Hii ni hatua kubwa. Inadhihirisha hakuna ukiritimba wa mifumo dume. Wanawake wengi hadi sasa wameshinda kura za maoni. Ni taswira nzuri kwa taasisi imara ya kisiasa. https://t.co/Tdx4hA9aLn

List iko kama ifuatavyo kwa walio chaguliwa akiwepo Catherine Luge

View attachment 1506137
Ina maana majimbo yapo 12 tu mkuu?
 
Mwanaume Hana ubavu wa kuvumilia masimango, manyanyaso, hata kidogo!! Kwa sababu anaamini kuweza Kwa kila jambo, kujiuza ni mtazamo wa uduni na fikira kandamizi zisizo na ushahidi hata kidogo!

Ukimwona mwanaume anabadirsha sauti yake Wakati akimtaka demu ujue huyo siyo mwanaume, Mwanaume wa ukweli haogopi maisha, hawezi kujikomba Eti aendelee kunyanyasika Kwa sababu anahofia maisha baada ya hapo, huyo atakuwa demu tu!
Wamejaa humu wanajikomba kwa Mbowe
 
Hongera sana sana Aminata saguti last time CCM walipora form zako na kukimbia nazo! Na msimamizi wa Uchaguzi kukucheleweshea kuzipokea, this time usiruhusu uharamia kama ule tena
 
Hao wa ma beuty and brain sura nzuri ila miguu kama mirunda !?
Siyo yale makopo ya Mbogamboga [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kiukweli kina mama angalau msimamo upo, ukimwangalia ester matiko, Ester Bulaya na Halima Mdee kwa uchache.
Hao msingi wao ni viti maalum; wamejihakikishia wakishindwa majimboni wanapitia viti maalum. Wale wa kiume wanajua nao namna ya kuendelea kuwa wabunge kpitia majimbo lazima wabadili chama kama kile walimo hakiwahakikishii ushindi.
 
Back
Top Bottom