Uchaguzi 2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

Uchaguzi 2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

Akina mama wengi ndio walienda kupiga kura sababu wengi wana vikundi vyao vya akina mama mitaani vya kusaidiana,kitchen party,send off,vicoba nk ( AKINA MAMA SHUGHULI) hivyo walihamasishana kuwa akina mama shime twende tukamsaidie mwanamama mwana kikundi mwenzetu!! wengi walioshinda akina mama wameshinda kupitia akina mama wa vikundi vyao .Na hii ni kazi ya Halima Mdee aliwahamasisha akina mama kutumia mitandao yao ya kivikundi mitaani kushinda
Na wapiga kura wengi ni wanawake!
 
Yule chotara toka chadema ajipange.. Siha ina mtu wake.
FB_IMG_1594722439767.jpeg
 
Uchunguzi binafsi nilioufanya ni kuwa chadema imeficha taarifa za ukweli wa kilichotokea
ni hivi matokeo yalitakiwa yaandikwe hivi

1.Idadi ya wajumbe wanaostahili kupiga kura kwenye eneo husika ni kadhaa
2.Waliopiga kura ni kiasi kadhaa
3.kura zilizopigwa kiasi kadhaa
4.Kura zilizoharibika kiasi kadhaa
5.Kura ambazo kila mgombea kapata kiasi kadhaa

Walichoficha chadema ni hiyo namba moja ambayo mimi ndio nimeigundua kuwa wanachadema wengi kwenye maeneo wameisusa chadema hawakwenda kupiga kura kabisa.Waliopiga kura hawafikii hata asilimia kumi ya waliotakiwa kwenda kupiga kura ya maoni!!!!

Pili wanaume walisusa kwenda kura za maoni Akina mama wengi ndio walienda kupiga kura sababu wengi wana vikundi vyao vya akina mama mitaani vya kusaidiana,kitchen party,send off,vicoba nk ( AKINA MAMA SHUGHULI) hivyo walihamasishana kuwa akina mama shime twende tukamsaidie mwanamama mwana kikundi mwenzetu!! wengi walioshinda akina mama wameshinda kupitia akina mama wa vikundi vyao .Na hii ni kazi ya Halima Mdee aliwahamasisha akina mama kutumia mitandao yao ya kivikundi mitaani kushinda

Tatu kuna FEMINIST MOVEMENT ndani ya Chadema iliyo chini ya Halima Mdee na ESTHER BULAYA na inakuwa funded na feminist movement za nje imesaidia kutoa support ya wanawake wengi CHADEMA kushinda

Tutarajie wanawake wengi sana kuwashinda wanaume kura za maoni Chadema
Mwanaume umbea umbea utafanywa kitu mbaya sana ata yesu kule Galilaya alikuwa anapenda umbea walichomfanya anajua na mungu wake.
 
Walilalamika Serikalini ni asilimia 20 kwa Waislamu na 80 kwa Wakristo, kwa sasa Chadema ni asilimia ngapi kwa ngapi kati ya Wakristo na Waislamu?
Unafikiri ni nafasi za uteuzi hizi
 
Tunapo sema chama makini ni chadema mnabisha.

Huyu mbati na kunipendeleza kwote haya, Mkuu wa mabank Tanzania katua Vunjo..

Waziri wa fedha mtarajiwa.

DKT CHARLES KIMEI ACHUKUA FOMU KUNOGESHA UBUNGE JIMBO LA VUNJO.

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB ,Dkt Charles KIMEI amejitokeza kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika jimbo la Vunjo hali inayiashiria uwepo wa mchuano mkali miongoni mwa makada wa Chama hicho waliojitikeza kuchukua fomu hii leo.

Ikumbukwe Jimbo la Vunjo limekuwa chini ya James Mbatia ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha NCCR-Mageuzi taifa.

Anaripoti @dixonbusagaga

#cloudsdigitalupdates
FB_IMG_1594729911698.jpeg
 
Kuna watu this time watapiga nyeto jukwaani sio push-up
LA la la, uwiii! Ina maana ile tabia ya kuzungumzia ngono kila awapo mbele ya mic ni maandalizi ya tukio hilo ambalo wataalamu wa siasa wataliita KUBWA KULIKO HAPA KAZI TUU?
Kila lakheri kwa maandalizi ya kitendo hicho.
 
Back
Top Bottom