Uchaguzi 2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

Uchaguzi 2020 Yanayojiri Matokeo ya CHADEMA kura za maoni kwa Wagombea Ubunge 2020

Makao Makuu si ndo wana maamuzi ya mwisho au huo utaratibu haupo tena.
 
Makao Makuu si ndo wana maamuzi ya mwisho au huo utaratibu haupo tena.
Utaratibu huo ya kukataa kauli ya wapiga kura una sura hasi ya kuvipasua Vyama, kasoro kwa Chama cha CCM pekee kwa sababu ya Demokrasia ya Mahabusu inayosimamiwa na POLISISIEM kwa yeyote atakayekiuka maauzi ya mwisho ya Mwenyekiti wa Chama Taifa.
Kwa hivi Vyama vingine, demokrasia inabidi ichukue mkondo wake.
 
Susan Lyimo ameshinda katika Kura za Maoni za kumteua mgombea wa Chadema Jimbo la Kinondoni. Amepata kura 71 kati ya 113. Sawa na asilimia 62.8. Amewashinda Moza Ally (Makamo Mwenyekiti Bavicha), Rose Moshi diwani Viti Maalum na Mbezi Mwombeki
PATAMU SANA
 
Vipaumbele wapewe wanawake Hawa ndio kiboko ya ccm.Wanaume watanunulika ili wapate pesa
 
Mshindi , Jimbo kwenye mabano.. mabaharia msije anza sumbua.

Chadema ikichukia nchi hili ndilo vazi la taifa[emoji1]
FB_IMG_1595088496032.jpeg
 
Back
Top Bottom