Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

Huko sahihi.
Kwa kuwa yanga peke yake ndo walitakiwa wacheze ILA SIO Simba.
Yaani mnaonewa nyie tu
Si nlikua nmeandika maelezo yakukuelezea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nkaja kusoma hilo jina lako nmefuta yooote
Mkuu jioni njema
 
Jamani matangazo ya kuzindua kitabu cha Mzee Mwinyi ni siku nyingi sana kimetangazwa.
Hawa TFF hawakusikia au wizara haikujua kuwa nchi ipo kwenye tansion ya Yanga na Simba?
Tunaendesha mambo kienyeji sana. Wacha iwe hivyo ili siku ingine viongozi wajifunze
 
Kwa kuwa ni mara ya kwanza yanga wangevumilia lkn yanga wao wamefanya makosa mengi tff wameyavumilia sasa kosa la kwanza hili wangevumilia wakumbuke kuna kesho pia watakosea wao sheria ikisimama watalalamika sana
 
Si nlikua nmeandika maelezo yakukuelezea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nkaja kusoma hilo jina lako nmefuta yooote
Mkuu jioni njema
Nimegungua huyo jamaa ni mchekeshaji ni comedian anafanya vichekesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…