kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
KAULI nyepesi NI yanga WAMEKIMBIA.
na wall kuwa wanatafuta sababu
Uko sahihi mkuu
Na simba wako vizuri sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KAULI nyepesi NI yanga WAMEKIMBIA.
na wall kuwa wanatafuta sababu
Si nlikua nmeandika maelezo yakukuelezea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nkaja kusoma hilo jina lako nmefuta yooote
Mkuu jioni njema
Uko sahihi mkuu
Na simba wako vizuri sana
Yanga wapo sawa kinyama bt me shabiki wa Simba..
Tunaendesha mambo kienyeji sana. Wacha iwe hivyo ili siku ingine viongozi wajifunzeJamani matangazo ya kuzindua kitabu cha Mzee Mwinyi ni siku nyingi sana kimetangazwa.
Hawa TFF hawakusikia au wizara haikujua kuwa nchi ipo kwenye tansion ya Yanga na Simba?
Hakika hawaezi rudia hii kitu Daima.Wamevurunda sana hao wapuuzi natumai hii itakuwa mara yao ya kwanza na ya mwisho kufanya upuuzi kama huu.
Sahihi kuliko sahihi yenyewe lazima tuwe na viongozi wanaosema hapana kanuni zinapokiukwa. Katiba inasiginwa watu wanachekelea??Kwa hyo kutoa timu uwanjani NI SAHIHI?
Sahihi kuliko sahihi yenyewe lazima tuwe na viongozi wanaosema hapana kanuni zinapokiukwa. Katiba inasiginwa watu wanachekelea??
Wangegoma ndio,swali lingine mji.ngawwVP yanga wangekuwa wanaongoza ligi wangegoma?
Wangegoma.VP yanga wangekuwa wanaongoza ligi wangegoma?
Wangegoma ndio,swali lingine mji.ngaww
Wangegoma.
Wangegoma vipi wakati Wana ongoza ligi?
Kwa kuwa ni mara ya kwanza yanga wangevumilia lkn yanga wao wamefanya makosa mengi tff wameyavumilia sasa kosa la kwanza hili wangevumilia wakumbuke kuna kesho pia watakosea wao sheria ikisimama watalalamika sanaView attachment 1777519
View attachment 1777520
My Take
Kama TFF haikushirikisha timu zote ni wapumbavu wa kudumu. Kwa nini walipanga mechi saa 11 wakijua kuna changamoto
Updates
View attachment 1777682Yanga wamepasha wamesepa. Hawa wizara na TFF wamewatafutia sababu Utopolo
Nimegungua huyo jamaa ni mchekeshaji ni comedian anafanya vichekeshoSi nlikua nmeandika maelezo yakukuelezea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nkaja kusoma hilo jina lako nmefuta yooote
Mkuu jioni njema
Wewe ni joti tumekushtukia unachekeshaHuko sahihi.
Kwa kuwa yanga peke yake ndo walitakiwa wacheze ILA SIO Simba.
Yaani mnaonewa nyie tu