T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Wairan watafadhiri makundi gani, haya yaliyouliwa viongozi ambayo wakati Iran inashambuliwa yaliufyata?Vinu vya Nuclear vipo salama kabisa, na vyombo mbali mbali vimelipoti na hata Jana Israel kashambuli Tena huko kuzuia access ya wairani huko. Nadhani Israel angekataa ceasefire kama anavyokataa na Hamas mpaka Regime change ifanyike na ndio lilikua lengo lake kubwa. Maana alisema bila Regime change basi wairani wataendelea kufadhili makundi ya kigaidi hivyo bila Regime change Bado hajafikia malengo yote.
Hivi Israel nae aanze sasa kushanbulia residential building za Tehran ili mzani ubalansi sasa
Ngoja waje Wazayuni vichwa box waliokunywa maji ya maiti na chumvi waje wapingeHakuna shaka kuwa safari hii Israel imepata zaidi ya ilichokuwa inakitafuta kwa kuishambulia Iran.
Pia hakuna shaka kabisa kuwa Iran inao uwezo wa kupambana na Israel moja kwa moja na kusababisha madhara makubwa sana.
Vilevile, Iran imeonyesha kuwa, Israel, bila kupigwa tafu na Marekani, ni mchumba mbele ya Iran.
Iron dome ya Israel kumbe wala haina sifa wala ubora ambao tulikuwa tunaaminishwa inao.
Hiyo iron dome saizi yake ni hayo makundi tu ya wanamgambo na sungusungu kama Hamas, Hizbollah, na hao Wahouth wa huko Yemen.
Kama licha ya military censorship iliyopo ndani Israel na tumeweza kupata picha kama hizi….
View attachment 3381009View attachment 3381010View attachment 3381011View attachment 3381012
Pata picha ya yale ambayo hatuyaoni kutokana na kuwepo kwa hiyo military censorship.
Hali hii ndo inayonifanya nihitimishe kuwa hali ndani ya Israel ni mbaya kuliko.
Na yote hayo ni kwa hisani ya jeshi la Iran!
Nchi ambayo inapambana peke yake dhidi ya mataifa mawili yenye silaha za nyuklia na ni nchi ambayo ipo chini ya vikwazo vingi vya kiuchumi, imejitahidi sana.
Jana kumetangazwa kuwepo kwa makubaliano ya kusitisha mapigano.
Kwa uzoefu wangu, kama kweli hayo makubaliano yapo, yanaweza yasidumu hata kwa siku mbili na wataanza kulaumiana na kunyoosheana vidole kuhusu nani kaanza kuyakiuka.
Natumaini hayo makubaliano yatadumu.
Wairan wana sababu zote za kujivunia jinsi nchi yao ilivyopambana na kuisababishia madhara Israel, madhara ambayo Israel haijawahi kuyapata.
Iran wana haki zote za kutembea vifua mbele na vichwa juu kwa somo walilowapa Israel.
They far exceeded my wild expectations!!
NB: Na kwa vile propaganda ni sehemu muhimu sana ya vita, kama Iran ingekuwa haisababishi madhara makubwa, Israel wangetuonyesha na wangejitapa kuwa iron dome yao ni kiboko.
Iran hazuii habari?. Acheni kudanganyana hakuna taifa lolote duniani likiwa vitani alizuii habari. Sasa msilete habari Kama vile Iran zake zipo wazi.Hizi siku kadhaa mfano mashambulizi ya juzi halikufanya kazi kabisa eti wanasema ni technical error. Kuna maeneo hayana umeme.
Israel walikuwa wanazuia vyombo vya habai kuchukua picha za baadhi ya maeneo niliona mwandishi wa bbc anazuiwa live on air.
Hawakuzoea kupambana na jeshi walizoea wanamgambo tu. Raha ni kwamba mashambulizi ya mara hii hata wananchi wao wameonja joto la hofu ya kuawa kwa siku 12.
Israeli imezidi hata kuangalia Aljazeera unaenda jelaIran hazuii habari?. Acheni kudanganyana hakuna taifa lolote duniani likiwa vitani alizuii habari. Sasa msilete habari Kama vile Iran zake zipo wazi.
Ni kweli wanawake na watoto ndio waliivamia IsraelGaza alichofanikiwa nini? Kuona wale wanawake, wagonjwa na watoto wanaadhilika?
Sisi tunamsema master israel ngumi alizokula na majeraha kuwa yatakuwa makubwa sana. Ajabu si mtu kula paka bali paka kula mtuIran hazuii habari?. Acheni kudanganyana hakuna taifa lolote duniani likiwa vitani alizuii habari. Sasa msilete habari Kama vile Iran zake zipo wazi.
Iran tayari anayo blueprint ya kutengeneza nuclear na waifundisha Hadi darasani hivyo itafika kipindi hata uuwe watu wangapi wanaofahamu juu ya hiyo tech watakuwepo TU, mfano Tanzania uanze kampeni ya kueliminate walimu unahisi utafanikiwa?Israel bado haiaminiki...
Kwa hili la kuvizia viongozi na wataalam nukes
Ni kweli wanawake na watoto ndio waliivamia Israel
unajua upo JF habari zote zipo humu so uongo kadanganye wanao ambao hawasomi news. Kasikilize Lengo la Vita la Netanyahu kwanza sio kubwabwaja bwabwaja tu kama wale watu wa virobaNetanyau alipoanzisha mashambulizi aliimba wimbo wa 'regime change ' kiitikio cha huo wimbo kiliimbwa pia na Trump.
Kwa hali ilivyo nadhani huo wimbo hauimbiki tena.
T14 Armata Yoda
Iran hawana tofauti na Hamas kupiga kwao ni kwa ajili ya kusumbua raia ndio ujue chuki za Muslims kwa Jews.. Maeneo yote ya Jeshi hawaoni