Manfried
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 1,288
- 4,074
Hongera Sana Yericko Nyerere.
Mpaka sasa umeua Biashara yako ya vitabu , maana watu wameshaanika Elimu yako na Kuonekana hauna Elimu inayoeleweka hivyo wamesema wanaenda kuchoma vitabu vyako vilivyojaa uongo .
Pili umeaua Credibility yako na watu waliokuwa wanakupa Kazi za Urundi umeme .
Huu uchaguzi Mbowe anabidi akuingize katika payroll la sivyo utakufa njaa .
Na Lissu akishinda Kazi unayo.