Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Yerico Nyerere ni business tycoon
www.jamiiforums.com
Mjue Mtanzania mwenye kumiliki kampuni nne ikiwemo ya madini na ndege
Wanabodi,Tumpongeze Ndugu Yericko Nyerere kwa bidii zake anazozifanya ambazo zimemuwezesha kumiliki kampuni kubwa ya YECCO Group yenye kampuni tanzu nne,namuona anaelekea kwa IPP Group,Dangote Group au Azam Group. YECCO GROUP LTD inayoongozwa na mkurugenzi mtendaji Yericko Nyerere,Kutokana na...