Kuna jamaa alisema vitabu vya Yeriko anaangalia uzito wa kilo tu ila uzito wa maudhui hamna kitu😁
 
The young man is a conman for really!
 
Kwani Ilimu yake Ina mushkheri gani tena jameni au namna gani!??
 
Nilikuwa mteja wake kupitia kampuni ya YECKO walikula.hela yangu na hawakufanya kandarasi ya consultancy ya umeme....
 
Usaliti haujawahi kulipa
 
Lissu lazima afukuzwe chadema
Atafukuza mboga mboga wote,na ukoo wake wote watajichimbia mapangoni kutoka tuu watatoka kwa hisani ya mwalimu wao wa darasa la sii hasaaa.Akichokonoa mapangoni wote mbio nje ya mapango yao.
 
Kosa lako Yeriko ni kutoa vi clip vya Lissu alikichanganya changanya kwenye matamko yake ya awali na sasa - jamaa zake wamekununia.
 
Yaan yerrico vitabu vyako muuzie Mbowe tu kwa ss utuambii kitu kumbe tapeli mzuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…