Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

Mawazo yangu kama yako,Jamaa yupo hai kuna chezo linachezwa..
 
Prigo anawacheki tu.
Mtu anasakwa 24/7 atapanda ndege na jina lake liwekwe kwenye madaftari ya airport. Hata kama mimi ni progo hiyo ndege sipandi.

Prigozhin with the number RA-02748 landed at the Ostafyevo airport near Moscow. It was on it that a businessman could be located, sources say.
“The second plane has landed. It was on it that Yevgeny Prigozhin could fly, who, for the sake of his own safety, checked in on one side, and was on the other, ”the Readovka telegram channel reports, citing sources.
Maskirovka big time 😁
 
Sidhani kama wataruhusu ADs ifanye kazi afu hayumo, akipona maana yake ni vita rasmi.

Nina amini amekufa maana FSB tayari wamesema kuwa ni ugaidi umefanyika
FSB wataanzisha uchunguzi kisha labda waisingizie Ukraine.
Next kukaa chonjo ni General Surovikin, kwanza yuko wapi huyu. Tangu ile siku ya tukio anatoa hotuba kumshawishi Prigozhin asitishe mutiny, hajaonekana popote.
Alikuwa anajua azma ya Prigozhin na hawapendi kina Gerasimov na Shoigu na wao hawampendi kabisa mpaka kumuondoa nafasi yake.

Bora Prigozhin alikuwa anajitutumua anaonekana na jana katudanganya yuko Afrika na anajipanga na mission hapa. Huyu Gerasimov hadi leo hajaonekana walau hata mtandaoni.

Leo ni siku ya shangwe ya Shoigu, alitaka kumuua Prigozhin mwezi wa sita
 
Waliotoa oda ya kurusha hilo kombora si wajinga
 
Ile rekodi kama kaiposti jana vile. Uwezekano kwamba hakuwa kwenye ndege upo, hii ni Urusi na mambo yake yako hivihivi miaka nenda rudi.
Kule Belarus nako Wagner hawana chao, waje Afrika kwa wanyonge wabebe madini. Syria waliikimbia unapigana na magaidi wakifa wanaona sifa, Ukraine wamechoka wizara ya ulinzi inawasaliti sasa labda waende mapigano mepesi.
 
Prigo anawacheki tu.
Mtu anasakwa 24/7 atapanda ndege na jina lake liwekwe kwenye madaftari ya airport. Hata kama mimi ni progo hiyo ndege sipandi.

Prigozhin with the number RA-02748 landed at the Ostafyevo airport near Moscow. It was on it that a businessman could be located, sources say.
“The second plane has landed. It was on it that Yevgeny Prigozhin could fly, who, for the sake of his own safety, checked in on one side, and was on the other, ”the Readovka telegram channel reports, citing sources.
Maskirovka big time 😁
 
Inadaiwa command yote ilikuwa Afrika na kuondoka kwenda Russia leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…