falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
Wameanza kugeukana,
NAona utawala wa kiraia ukirudi mali na burkinafaso
NAona utawala wa kiraia ukirudi mali na burkinafaso
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawazo yangu kama yako,Jamaa yupo hai kuna chezo linachezwa..Kifo chake kilishatarajiwa wakati wowote ule baada ya ile Mutiny, lilikuwa ni swala la muda tu. Halafu huyu Boss Prigozhin kazingua sana, juzi anajirekodi video kwamba yuko Africa akisema (we are working, the temperature is 50°C plus) leo wamemuua huko Urusi. Kumbe alikuwa anacheza na akili zetu muhuni huyu. Ukute na hapa tunachengeshwa tu, maana wanasema eti "he was on the passenger list" na vipi kama list haikutimia on board [emoji16]
FSB wataanzisha uchunguzi kisha labda waisingizie Ukraine.Sidhani kama wataruhusu ADs ifanye kazi afu hayumo, akipona maana yake ni vita rasmi.
Nina amini amekufa maana FSB tayari wamesema kuwa ni ugaidi umefanyika
Waliotoa oda ya kurusha hilo kombora si wajingaPrigo anawacheki tu.
Mtu anasakwa 24/7 atapanda ndege na jina lake liwekwe kwenye madaftari ya airport. Hata kama mimi ni progo hiyo ndege sipandi.
Prigozhin with the number RA-02748 landed at the Ostafyevo airport near Moscow. It was on it that a businessman could be located, sources say.
“The second plane has landed. It was on it that Yevgeny Prigozhin could fly, who, for the sake of his own safety, checked in on one side, and was on the other, ”the Readovka telegram channel reports, citing sources.
Maskirovka big time [emoji16]
Mimi si mfuatiliaji wa hizi habari lakini siamini kama huyo General anaweza kuuwawa kizembe namna hiyo, siamini.Thank you God,na iwe hivyo.Bado Putin. Binafsi nilikuwa ninasali huyu shetwani afe.
Yaani mhalifu agombee uraisi Russia?Inasemekana Prigozhin alikuwa agombee urais dhidi ya Putin.Putin ni muuaji kabisa.Hivi wanashindwa vipi yeye kumuua ?
Kwamba CIA ndo wakaamuru command ya ADs ifyatue?Bado dikteta Putin sasa na usishangae hiyo ikawa kazi ya CIA.
Prigo hakuwemoImethibitishwa Dimtry Utkin kafariki
Ile rekodi kama kaiposti jana vile. Uwezekano kwamba hakuwa kwenye ndege upo, hii ni Urusi na mambo yake yako hivihivi miaka nenda rudi.Kifo chake kilishatarajiwa wakati wowote ule baada ya ile Mutiny, lilikuwa ni swala la muda tu. Halafu huyu Boss Prigozhin kazingua sana, juzi anajirekodi video anatuambia yuko Africa tena akisema (we are working, the temperature is 50°C plus) leo wamemuulia huko Urusi. Ukute na hapa tunachengeshwa tu, maana wanasema eti "he was on the passenger list" na vipi kama list haikutimia on board 😁
Mhalifu wa wapi , wananchi wanampenda.Putin nae si mhalifu na ni Rais.Yaani mhalifu agombee uraisi Russia?
Naomba ufafanuzi wako na mifano kidogo mkuu.Urusi hautakiwi uwe na cheo alafu uwe na akili, umaarufu na uzalendo.
Hii nilitegemea, ni muda tu ulisubiriwaPutin huyo!