MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Ni habari njema sana. Waafrika wenzetu walikufa wakitumikia jeshi lake haramu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I regard Utkin as the real founder of Wagner PMC. Sijajua hasa nani kati yake na Prigozhin ndio alimtangulia mwenzake ila Utkin alikuwa boss wa mwanzo. Na huyu ndio ana tattoo za NaziImethibitishwa Dimtry Utkin kafariki
Urusi haipo tena syria?Ile rekodi kama kaiposti jana vile. Uwezekano kwamba hakuwa kwenye ndege upo, hii ni Urusi na mambo yake yako hivihivi miaka nenda rudi.
Kule Belarus nako Wagner hawana chao, waje Afrika kwa wanyonge wabebe madini. Syria waliikimbia unapigana na magaidi wakifa wanaona sifa, Ukraine wamechoka wizara ya ulinzi inawasaliti sasa labda waende mapigano mepesi.
Huenda finance ndo imempa Prigo ukubwaI regard Utkin as the real founder of Wagner PMC. Sijajua hasa nani kati yake na Prigozhin ndio alimtangulia mwenzake ila Utkin alikuwa boss wa mwanzo. Na huyu ndio ana tattoo za Nazi
Uthibitisho wa hiki usemacho!?Putin hajaenda kwa kuogopa kuondolewa madarakani na sio kukamatwa na ICC
Prigozhin ahofiwa kufariki katika Ajali ya Ndege
Watu 10 wameripotiwa kufariki kwenye ajali hiyo ya ndege
Watanzania tumuombee apumzike kwa amani!
Source: Al jazeera
====
Kwa mujibu wa Idara ya Habari ya Urusi (TASS), abiria 10 waliokuwa kwenye Ndege Binafsi wamefariki ambapo inaaminika Kiongozi wa Jeshi Binafsi la Wagner Group, Yevgeny Prigozhin naye alikuwepo kwenye Ndege hiyo
Taarifa za awali zilizoripotiwa na akaunti ya Grey Zone inayodaiwa kuwa na uhusiano na #WagnerGroup zimeeleza kuwa Ndege hiyo ilishambuliwa na Walinzi wa Anga katika Mkoa wa Tver, Kaskazini mwa Moscow
Juni 2023, Prigozhin aliongoza kilichoelezwa kuwa ni Uasi wa muda mfupi dhidi ya Wakuu wa Kijeshi wa Urusi ambapo Rais Vladimir Putin alimtaja Kiongozi huyo kama Msaliti.
View attachment 2726581
Yevgeny Prigozhin was passenger on crashed plane, Russian officials say Ten died when aircraft came down on flight from Moscow to St Petersburg, according to emergency ministry
Wagner boss Yevgeny Prigozhin was on the passenger list of a plane which crashed in Russia, killing all 10 on board. He was believed to be on board the plane. Earlier, a Wagner-linked Telegram channel Grey Zone reported that the jet was shot down by air defences in Tver region, north of Moscow.
Eka vizuri sijakuelewa.Ukraine wamechoka wizara ya ulinzi inawasaliti sasa labda waende mapigano mepesi.
"thank you God" unamaanisha God yupi sijui..yani kufa mtu unashukuru na unataka mwingine afe.Thank you God,na iwe hivyo.Bado Putin. Binafsi nilikuwa ninasali huyu shetwani afe.
Kwani wewe huwezi kuedit wikipedia?Wikipedia imeripoti prigozini kafarikiView attachment 2726622
Mitandao tu hiyooo
Watu hamuamini, kwamba mnahisi ye ni immortal au? Poleni warusi wa buza[emoji23]Kwani wewe huwezi kuedit wikipedia?
Pigo kubwa kwa Africa ya kaskaziniPrigozhin ahofiwa kufariki katika Ajali ya Ndege
Watu 10 wameripotiwa kufariki kwenye ajali hiyo ya ndege
Watanzania tumuombee apumzike kwa amani!
Source: Al jazeera
====
Kwa mujibu wa Idara ya Habari ya Urusi (TASS), abiria 10 waliokuwa kwenye Ndege Binafsi wamefariki ambapo inaaminika Kiongozi wa Jeshi Binafsi la Wagner Group, Yevgeny Prigozhin naye alikuwepo kwenye Ndege hiyo
Taarifa za awali zilizoripotiwa na akaunti ya Grey Zone inayodaiwa kuwa na uhusiano na #WagnerGroup zimeeleza kuwa Ndege hiyo ilishambuliwa na Walinzi wa Anga katika Mkoa wa Tver, Kaskazini mwa Moscow
Juni 2023, Prigozhin aliongoza kilichoelezwa kuwa ni Uasi wa muda mfupi dhidi ya Wakuu wa Kijeshi wa Urusi ambapo Rais Vladimir Putin alimtaja Kiongozi huyo kama Msaliti.
View attachment 2726581
Yevgeny Prigozhin was passenger on crashed plane, Russian officials say Ten died when aircraft came down on flight from Moscow to St Petersburg, according to emergency ministry
Wagner boss Yevgeny Prigozhin was on the passenger list of a plane which crashed in Russia, killing all 10 on board. He was believed to be on board the plane. Earlier, a Wagner-linked Telegram channel Grey Zone reported that the jet was shot down by air defences in Tver region, north of Moscow.
Wewe huna akili, hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuishabikia Urusi na shetani wake Putin.Watu hamuamini, kwamba mnahisi ye ni immortal au? Poleni warusi wa buza[emoji23]
Uchambuz wakoUrusi hautakiwi uwe na cheo alafu uwe na akili, umaarufu na uzalendo. Ukiwa navyo hivyo life expectancy yako ni ndogo kuliko mwenye maambukizi ya VVU.
Tukisema mnadai tunaichukia Urusi. Kwanza sababu za Prigozhin kufanya mutiny ziko wazi na ni sahihi kwa wazalendo wa Urusi ndani ya jeshi, na ndio hao wanaondolewa
Pigo la nini?Pigo kubwa kwa Africa ya kaskazini
Hata sijui kwakweli ila last week alikuwa huko na kuahidi kuwasaidiaPigo la nini?
Ukiongea na watu wajinga unadhani unatakiwa kauli gani?Hata sijui kwakweli ila last week alikuwa huko na kuahidi kuwasaidia