Aisee ππ.Peleka ujinga mbali, kuna raslimali gani Tanzania za kupiganiwa hivyo ambazo hizo nchi za nje haziwezi kuzipata bila machafuko? Hizo nchi za nje ndio zilisema Samia atangazwe kwa kura 31m? Kungekuwa na hizo raslimali tungekatwa Kodi kwenye miamala ya simu?
Mkuu,shukrani kwa kututoa tongotongo. Long live!Kuna kitu kinaitwa "Original plan"" kuingiza Rais ambaye hajawahi kugombea"
Mama alipaswa kushika kwa muda TU kipindi kile,lakini kwa kua alionyesha ana Nia ya dhati ya kufuata maelekezo ya "the state" yapo kwenye Uzi wa "operation imesitishwa the state wamesema apewe muda"
Sasa alipopewa nafasi hakufuata maelekezo Yale "katiba ni kijikaratasi" ndipo plan ya mwanzo ilibidi itekelezwe!
Utekelezaji wake ndio huo "Desert mission, operation PJLK!mpango wenyewe ukawa "No REFORM NO ELECTION, mission nchi kavu ambayo ni Tanganyika!
Lengo lilikua kumtia hatiani kwa mauaji na kuleta dosari kwenye uongozi wake kama ilivyo sasa mtego wa ICC!
Script ikachezwa na upinzani Plus iner cycle ya ccm wazalendo plus mataifa ya makubwa ya nje yaani "usa, Europe Israel via CIA,MOSSAD,M16 n.k ndio maana Thabit kombo anasema "vurugu za uchaguzi zilianzia nje ya nchi ndio zikaja ndani"
Kifupi Hali IPO hivyo!
Na sasa tupo karibu na kilele!
Uchaguzi wa 2025 haaukua vita vya ccm na upinzani bali mataifa makubwa USA,EUROP,ISRAEL VS FALME ZA KIARABU, RUSSIA,CHINA N.K kwenye rasilimali za nchi hii
Nawaza na kuwazua kutokana na Duru jamvini na yanayoendelea!!
Wewe mpumbavu unajua maana ya neno UTABIRI?Je utabiri wa elinino inaonyesha kuwa hiyo serekali ni smart? Juzi kapokea Balozi wa uarabuni, ila leo wa wa US na Uswisi wamepokelewa na Kombo! Kwenye ukweli na uongo hakuna wa Kumnyooshea kidole mwenzake.
Wizi tuu na utapeli...Na taarifa za elinino ni kweli mkuu wangu? Maana hadi mitihani ya shule imebadilishiwa muda. Huko ulipo mafuriko yameanza?
Watanzania walio wengi wana low IQ.. hata Wakenya wanatuzidi... na hilo suala linatokana na malezi , mazingira na kutotaka kubadilika...Mambo serious hua hayapatikani kwa urahisi kaza mwanaume
Mkuu kwenye mambo ya maana tunaleta mafumbo kama akina Hadija Kopa, hakuna cha spoon feeding hapa tunataka kuweka ukweli hadharani sio kuzungukazunguka.imarisha uwezo wako wa kufikiri, yale mafumbo yanaeleweka sana
unapenda sana spoon feeding
Sawa wewe endelea kutafta vitu laini na IQ kubwa yakoWatanzania walio wengi wana low IQ.. hata Wakenya wanatuzidi... na hilo suala linatokana na malezi , mazingira na kutotaka kubadilika...
Suala ni taarifa zifike kwa Watanzania walio wengi, suala si mashindano ya ku Crack code... ndio maana ya harakati, weka taarifa hata machinga akisoma aelewe....
Sio kila mtu ana uelewa ulionao...
Aina ya watu kama wewe ndio wale huamini elimu ikiwa ngumu ndio bora, huku wenzenu wanazidi kuendelea, nyie mnasoma mitaala ya miaka ya 80...
izo taarifa nyeti huwez nyooka tu mkuu lazima uziweke kwa namna ya kificho kuepuka kujulikanaMkuu kwenye mambo ya maana tunaleta mafumbo kama akina Hadija Kopa, hakuna cha spoon feeding hapa tunataka kuweka ukweli hadharani sio kuzungukazunguka.
Kujulikana?izo taarifa nyeti huwez nyooka tu mkuu lazima uziweke kwa namna ya kificho kuepuka kujulikana
Sasa napata picha
Ina maana CCM mtandao walionao Sa100 akimaliza muda wake nchimbie atachukua nafasi na wenda angemwaga mboga sasa sasa wakaamua wamuharibie
Ili ikitokea Sa100 akashindwa kumaliza muda wake anaapishwa Mr DEO ambaye anaenda kuongoza tena kwa miaka 10ππ
Kiufupi namna ya kutoka mikononi mwa wahuni bdo n mtiti jamaa wanawaza mbali sana
kama kuna kifungu kinachokataza jambo hilo kufanyika hivyo kiweke hadharaniNaona mnaanza kuleta mchezo wa kipumbavu
Kupokezana kiti bila ya kufanya kampeni na kupigiwa kura huu ni uhuni
sasa mkuu tukiwa tunadai katiba mpya, miongoni mwa vitu ambavyo vya kurekebisha si ndo kama vitu hivyo, au kuna kifungu kinazuia jambo hilo kufanyika?Wewe kweli ni kiazi hasa!
Sijasoma kila kitu ila nimerudia mara saba kuusoma mstari wenye alama ya kuuliza,ni vema iwe hivyo sasa hivi.Mwigulu kufukuzwa inakuja
Nchimbi nyumba yake kuzingirwa
Report ya Samia kusema wapinzani wameshirikiana na Nchimbi kufanya maandamano nayo nilisema na nyuzi zimo,
Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ??
Nimekaa kimya week kadhaa yanayoendelea si Mazuri kabisa
Britanicca
Ukiona hivyo ujue WATANGANYIKA tumechoka.Watanzania SISI ndio watu wajinga zaidi kuwah tokea duniani wallah,
Hawa wanaharakati, waliamimisha watu waandamane jeshi lipo matokeao yake watu wakafa wao wanaishi, watu hawashtuki.
Sasa hivi bado tu wanaendelea kuleta TAARIFA ambazo badae huonekana si za kweli ni uongo lakini bado watu wanawasikiliza na kuwatii, nyimwa vyote si akili ya utambuzi.
Leo tena mtu anapangwa bado ana amini tena, eeh mungu naliombea taifa langu si wasomi si wasioe wasomi kwa tanzania ni ngumu sana kumtambua wakisimama pamoja, Yani tumekua sijui ni ma nini tu, inasikitisha sana