mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
kama uliokotea wewe,si kila mtu anaokotwa.Hivi mnaokotwa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama uliokotea wewe,si kila mtu anaokotwa.Hivi mnaokotwa wapi?
Hii ni ya kujibu, nyingine ziachweSio lazima kujibu kila tetesi, utajibu ngapi?
Wabongo kila siku wanastory mpya ukianza kujibizana nao utaishia kufanya kazi hiyo tu mwaka mzima.
Una stress,hata sasa watu hawajaacha kuteleza au kutoboa kimaisha.Ni we tu utabaki unabwabwaja humu na chuki zako.💯 mijitu ya humu jf inashabikia mtu afe hiyo ndio ile mijitu ambayo ilizoea kuteleza short pass halafu itoboe kimaisha kiulaini Sasa magu ameibana fedha kazipeleka kwenye maendeleo inalia Lia na magu.na semaje wewe ambae unashabikia mwenzako afe utatangulia wewe pumbaaff
Rais ni mkristu na kipindi hiki ni kwaresima lazima apate muda wa kuongea na Mungu, yeye ni kiongozi lazima amjue Mungu maana madaraka aliyo nayo yametoka kwa Mungu. Ni kipindi cha kutafakari maisha, kufunga na kuomba. Acheni Mungu aitwe MunguMzee Mwanakijiji Uongo kila leo umejaa hii nchi..Rais nae ni mtu jameni kuna muda anaamua kupumzika tayari wanamzushia..Nadhani Rais ajue kuna wazushi hata kwenye serikali kuna mijitu miongo mizushi balaa.
Mzee wangu nakuheshimu sana na ninaungana na wewe watoe taarifa Kama anaumwa ila sioni kuwa ni sahihi ikiwa haumwi watoe taarifa kwa ajili ya kujibu tuhuma maana hawa wapuuzi wamekua wakizusha sio Mara moja wala mbili ni kawaida yao, je unaona ni sahihi kuwajibu hivo tuhuma zao ovu kila Mara?Haijalishwi mara ngapi inazushwa...ni Rais yeye. Mnapima uzito wa jambo linalozushwa...Rais mwenyewe alishawahi kusema aliwahi kuugua akiwa waziri... Trump alipata corona, Boris Johnson aliugua na kulazwa..Rais ni wa nchi siyo wa Ikulu...wangetaka watu wasijue basi waache kutuambia mambo mwingine anayofanyaga....
Acha Udodoki ....watu kama hawa ndio wapambe , akiondoka tu wanaanza kuponda kama sio wao ili wadandie gari mpyaRais ni mkristu na kipindi hiki ni kwaresima lazima apate muda wa kuongea na Mungu, yeye ni kiongozi lazima amjue Mungu maana madaraka aliyo nayo yametoka kwa Mungu. Ni kipindi cha kutafakari maisha, kufunga na kuomba. Acheni Mungu aitwe Mungu
Kwanini hii na sio nyingine ingali wao furaha yao ni madhili sio kwamba unawapa ujira wa kazi yao waliojipa?Hii ni ya kujibu, nyingine ziachwe
Rais wangu, wanaokuwazia mabaya wameshindwa na kuaibika! Kumbuka Mungu wako unayemwamini, unayemtegemea na kumpa utukufu yu upande wako! Tunakuombea kwa Mungu na kukutakia mema.
Kwasababu italeta taharukiKwanini hii na sio nyingine ingali wao furaha yao ni madhili sio kwamba unawapa ujira wa kazi yao waliojipa?
Wachina wana kipi cha kumpenda kaharibu uhusiano sana ...hao wakenya wenyewe wana kipi cha kumpenda kaharibu sana uhusiano ndani ya jumuia ..Mungu ampe kuishi ili ajirekebishe ......Kwani ile ya china ilikuwa feki.Au ipo kwenye majaribio.Dawa za madagascar je ni og au feki, kujifukiza na maombi hata navyo vimeshindwa?
Kuna jamaa yangu yuko Nairobi ananiambia Nairobi Hospital hakuingiliki kabisa. Haijulikani kuna nini ila ulinzi wa pale haijawahi tokea, wagonjwa wanashauriwa kwenda Hospitali zingine.
Atoke basi hadharani ....kwanini kuacha uvumi .....hawezi kukaa sana mzena ambako alizembea Mkapa akafa , na kina Apson,Augustino Maiga ....dhamira inamsutaNever.. Rais wa Tanzania hawezi kwenda kenya kutibiwa.. kwanza tuna facilities za kutosha kwa sasa pili kenya sio salama.