zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Alisingiziwa kivipi? Kusingiziwa ina maana hujafanya na sio mwingine pia akifanya basi umesingiziwa!!!JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Ilogical, No wonder ni mfuasi wa CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alisingiziwa kivipi? Kusingiziwa ina maana hujafanya na sio mwingine pia akifanya basi umesingiziwa!!!JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
So ht huyu wa sasa yeye ndie anayefanya?Alisingiziwa kivipi? Kusingiziwa ina maana hujafanya na sio mwingine pia akifanya basi umesingiziwa!!!
Ilogical, No wonder ni mfuasi wa CCM
Ndio!! maana tuhuma anazijua na hachukui hatua. Mbona wapinzani wakiandamana wanadakwa hapo hapo, kigumu ni kipi kukamata watekaji?So ht huyu wa sasa yeye ndie anayefanya?
Sasa wapinzani wanaandamana sirini au hadharani, utekaji unafanyika hadharani kama watu wanatangaziwa leo tunakuja kufanya utekaji?Ndio!! maana tuhuma anazijua na hachukui hatua. Mbona wapinzani wakiandamana wanadakwa hapo hapo, kigumu ni kipi kukamata watekaji?
😆😆😆Drama tu hizi
Serikali ya samaki inaua tu sisimizi... Tukihoji wanashangaa make wao wanaamini kifo ni kifo.Kuna wadau walihoji mbona utekaji/uuaji haupo Znz? Nadhani SIRIKALI ikastuka sasa wameona wabalance ili msiseme tena kwamba upo bara tu.
Mabaya hayo yataendelea kwa vile ndio mkakati unaopendwa sana na wanaotaka kubaki madarakani bila usumbufu wa wakosoaji.Kama rais aliyepita alikuwa na mabaya bc tunataka kuona awamu inayofuata haina hayo mambo, sasa kama hayo mambo bado yapo yanaendelea bc ujue tatizo sio huyo kiongozi.
Mashehe wote wamehamia BakwataHivi siku hizi Albadir haipo au hakuna wasomaji..??
Mwisho wa kunukuuKwa kweli kilichotokea kwa mwanangu naomba sana, serikali yangu ni sikivu ya Zanzibar na inatupenda wananchi wanyonge, kwa hili nataka isikie kilio changu
Bosheni mzeeHivi siku hizi Albadir haipo au hakuna wasomaji..??
Waandamanaji wanakamatwa kwa sababu huwa wanatangaza siku za maandamano, lakini linapokuja swala la utekaji, watekaji huwa hawakwambi utatekwa lini! So mfano wako hauwendani na scenario yenyewe!!Ndio!! maana tuhuma anazijua na hachukui hatua. Mbona wapinzani wakiandamana wanadakwa hapo hapo, kigumu ni kipi kukamata watekaji?
Inahuzunisha sanaBara na visiwani
Ule mzoga achana nao.JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Kwani huna habari kuwa kazi inaendelea?Vp huyu wa sasa
Kazi inaendelea...Kama muuaji alikuwa jpm, sasa mbona bado hayo mambo yanaendelea wakati jamaa alishakufa?