Zanzibar: Aliyechukuliwa na Polisi kwa ajili ya Mahojiano akutwa ameuawa

Zanzibar: Aliyechukuliwa na Polisi kwa ajili ya Mahojiano akutwa ameuawa

Why/how can a government of a truly sovereign nation hire mercenaries to abduct, torture and kill the people?? Where did they ccm learn that killing people wipe out criticism??
 
Kama rais aliyepita alikuwa na mabaya bc tunataka kuona awamu inayofuata haina hayo mambo, sasa kama hayo mambo bado yapo yanaendelea bc ujue tatizo sio huyo kiongozi.
Mabaya hayo yataendelea kwa vile ndio mkakati unaopendwa sana na wanaotaka kubaki madarakani bila usumbufu wa wakosoaji.

Kwa vile CCM imedhamiria kuwa “ushindi ni lazima” na kila aingiaye jumba kuu lazima adumu miaka 10 au zaidi bila kukosolewa, legacy ya ugaidi dhidi ya wapinzani/wakosoaji lazima iendelee. Ndio signature ya madikteta dunia nzima.
 
Ndio!! maana tuhuma anazijua na hachukui hatua. Mbona wapinzani wakiandamana wanadakwa hapo hapo, kigumu ni kipi kukamata watekaji?
Waandamanaji wanakamatwa kwa sababu huwa wanatangaza siku za maandamano, lakini linapokuja swala la utekaji, watekaji huwa hawakwambi utatekwa lini! So mfano wako hauwendani na scenario yenyewe!!
 
Back
Top Bottom