Sasa si mjitenge au mpaka kwanza mpore ardhi ya Tanganyika, tena kiulani bila kumwaga jasho, ndipo mjitenge? Ukijitenga na Tanganyika una uwezo wa kushindia urojo na madafu au unajitutumua bure kama chura aliyebanwa na mlango?
Mimi sio mzanzibar ila punguza chuki we mwanaume.!!
 
Hakuna uporaji wowote hapo....hata raia binafsi na makampuni ya kigeni humiliki ardhi Tz kihalali tu.
 
Hakuna uporaji wowote hapo....hata raia binafsi na makampuni ya kigeni humiliki ardhi Tz kihalali tu.
wewe ndio kichwa chako kimejaa funza. sasa inakuwaje badala wa wizara ya ardhi kutoa hilo tangazo anakuja kutoa mtu toka nchi za nje? kama wao ni nchi kweli.
 
Mnashindwa tu kutofautisha kati ya property na territory. Watu kwenye mitandao wanaongelea as if hiyo ni territory. It is just a property of SMZ not territory.
 
Usijiokotee vihoja uchwara unakuja kutujazia uchafu humu JF ili ututoe kwenye reli. Tetea hoja kwa ushahidi kuntu, acha poroja na hadithi za Alfu Lela Ulela. Hazitakusaidia chochote.
 
wewe ndio kichwa chako kimejaa funza. sasa inakuwaje badala wa wizara ya ardhi kutoa hilo tangazo anakuja kutoa mtu toka nchi za nje? kama wao ni nchi kweli.
Zanzibar ni sehemu ya jamhuri ya muungano ya Tanzania.
 
Mkuu two wrongs cannot make one wright. Kwa hiyo unataka kuhalalisha uvamizi na uporaji wa ardhi ya Tanganyika halafu watanganyika watalima au kujenga wapi? Kuwa mzalendo hata kidogo tu basi.
 
Hiyo chuki ndio naiongelea, beberu ni mtu gani? Ufinyu wako waakili ndio unakufanya ubaki hapo ulipo na upeo mdogo wakufikiria. Wewe ulitaka Dunia iweje? Kwamba watu wabaki walipo wasitafute fursa nje ya maeneo Zaidi ya kwao.

Nani kapora ardhi? Kwa sheria uliotunga wewe Wao wamepora ardhi lakini kwa sheria ya Tanzania Wao wanamiliki ardhi

We kaa kijiweni endelea kuropoka ropoka maana inaonesha ndio kitu ulichifanikiwa zaidi kwenye maisha yako. Itabaki kuwa zanzibar(Watanzania wenzetu) wanamiliki ardhi bara. Na nikumize zaidi hawakunua wamepewa, [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

We sogeza tendegu kama utapewa hata mguu moja wa ardhi.

Kama analalamika umiliki usingeanzia na Serikali ya zanzibar. Kuna makumpuni mengi mengi sana yana mmiliki ardhi kubwa kuliko hiyo ya SMZ.

We endelea kutunga sheria zako.
 
Inaweza isiwe leo wala Kesho ila namna Zanzibar wanavyobehave kwenye huu Muungano wanachochea, Nationalism ideologies kwa upande wa bara( ambayo ni mbaya).
 
Ardhi yetu kwani wanaibeba wanaenda nayo wapi? Kama walipewa kihalali na wamefata sheria, tatizo nini?
Usitetee upumbavu wewe ushakuwa mkubwa sasa una wajukuu. Umeambiwa mtu akipora ardhi sharti aondoke nayo? Kama hawajaondoka nayo mbona sasa wanawazuia watanganyika kuitumia? Unataka watanganyika wakalime/kujenga wapi? Kama nawe umeenda shule basi hizi shule hazina maana yoyote, bora zivunjwe tuache kusoma.
 
Tanganyika iko wapi? Hivi tuna eneo kule visiwani?
 
Muungano wa hovyo kuwahi kutokea, haumnufaishi mtanganyika kwa lolote zaidi ya kuwapendelea wazanzibari tu.
 
kule visiwani Tanzania bara wanamiliki ardhi gani? tuanzie hapo
Hawaruhu sio kumiliki tu ardhi bali hata kuoa.......watanganyika wanazuiwa hadi kuoa wazanzibar. Ikibainika mtanganyika kaoa Zanzibar unaweza hata ukatwe makende yote. Huu upuuzi sasa basi.
 
No!, it's the other way round, muungano utaimarika!, tutashare the cost ya kurun muungano, kwa sasa kuna punda mmoja tuu ndie anamenyeka, halafu mwingine, anakula tuu sushi!.
P
Na ndipo palipo na njia ya kuvunjika, kama wameshindwa kulipa deni la umeme ndio wataweza kulipa ghalama za kuendesha muungano
 
Mnashindwa tu kutofautisha kati ya property na territory. Watu kwenye mitandao wanaongelea as if hiyo ni territory. It is just a property of SMZ not territory.
Kesho watakuja wamarekani watasema ni marufuku kukanyaga ngorongoro sijui tutasemaje
 
kama wewe ni mbara, utakuwa huna marinda. nenda tu zenji kaishi na machoko wenzio.

Kwahiyo mmoja akifanya kosa basi wote wamefanya!! So, huku kwetu ni kusafi kwa maana hakuna ufirauni!! Acha kujitoa ufahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…