Dola ya Zanzibar ilikuwa kubwa imetapakaa hadi kwa Wangwana ndani ya Congo kabla wabelgiji hawajawapora.
Hiyo ramani ni ya wakoloni wa ulaya ila ya ukweli ikiyosababisha vita kati ya dola kubwa ya Zanzibar na Ubelgiji ndani kabisa ya iliyo sasa DR Congo simulizi yake ipo hadi katika Makumbusho ya Brussels Belgium na Berlin Germany ni hii hapa chini:
DOLA KUBWA YA ZANZIBAR 1800
Wakati Zanzibar ikiwa dola kubwa 1882 ilikuwa na wafanyabishara waliojipenyeza kibiashara, kijasusi, kijeshi mpaka Manyema DR Congo hadi bahari ya Atlantic Congo Brazaville na Angola.
Zanzibar kuwa Taifa kubwa la kibiashara muda huo Ikasababisha vita ya kijeshi na Ubelgiji. Vita 1892 / 1894
WHKMLA : History of the Belgo-Arab War, 1892-1894 ambayo ilichagizwa kwa ukubwa kuhusu maslahi ya kiuchumi hivyo majeshi ya kibelgiji ya King Leopold yaliyokuwa Congo na majeshi ya Dola Kubwa ya Zanzibar chini ya mwana wa Tippu Tip yaliyokuwa huko Congo yakisindikiza biashara maeneo hayo ya Afrika ya Kati kupambana.
Turuke / fast forward 2022 hii Dola Kubwa ya Sultani iliongozwa na nani ? Kwanini ikaitwa vita baina ya waBelge na WaArabu ? Je pande hizi mbili zilizopigana vita, zote siyo za kikoloni ambazo zinapigania masilahi yao ?
Between 1892 and 1894 the
Force Publique of King Leopold II’s Congo Free State engaged in a series of little-known counter-insurgency operations against ivory and slave traders from Zanzibar, commonly referred to as Arabs. Without a particularly strong tradition of imperial service, this article argues that the predominantly Belgian officer corps borrowed and adapted methods used by more experienced colonial forces in the 19th Century. Whether taken from existing literature or learned through experience, it reveals that the
Force Publique’s counter-insurgency methods reflected many of the more recognisable aspects of traditional French and British approaches. It suggests that, despite the unique nature of each colonial campaign, basic principles could be adapted by whomsoever to overcome the military and political challenges of colonial conquest. The
Force Publique’s campaigns in the Congo-Arab War, therefore, provide further evidence as to how some base theories could be universally applied.