Huwa haipo hivyo. Unatakiwa uwe makini kutetea hoja yako na siyo kuja na majibu ya mkato ya sentensi moja. Kama na wewe hujui basi minya
We unajua na ardhi ni yao ! kama unabisha sio yao leta ushahidi .

Na bado wapp wazungu wana miliki ardhi kubwa na hakuna kitu utafanya.
 
We unajua na ardhi ni yao ! kama unabisha sio yao leta ushahidi .

Na bado wapp wazungu wana miliki ardhi kubwa na hakuna kitu utafanya.
Hivi wazungu kumiliki ardhi kunahalalishaje wazanzibar kuchota ardhi ya Tanganyika kibabe?
 
Waziri wa ardhi ajitokeze aufafanulie uma wa watanganyika inawezekanaje? Zanzibar imiliki ardhi Tanganyika?
 
Hivi wazungu kumiliki ardhi kunahalalishaje wazanzibar kuchota ardhi ya Tanganyika kibabe?
😅😅😅Si ndo yale yale ! tatizo lipo wapi?

So wazungu sawa ila wazanzibar hapana
 
Sishangai, kwa sababu Nchi ina Raia wapumbavu haijawahi tokea, kutwa nzima ni Yanga na Simba unategemea nini? Yaani watu ni Yanga na Simba huku watawala wakiineemeka na keki ya ncni
Sasa mkuu kuna siku atakuja kutokea Rais kama Magufuli atafuta umiliki, wala usiogope na msije kumuita Dikteta tena.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Serikali ya China inamiliki ardhi kubwa tu USA kwahiyo sishangai.. umiliki wa ardhi Tanzania si kwa mtu/taasisi yoyote? kama sheria zenu wa kumiliki ardhi ni dhaifu hata Somalia itakuja kununua ardhi huku.
Sina hakika kama Mirembe inakuhusu? Lakini tunaheshimu uhuru na haki yako kikatiba kutoa maoni.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
😅😅😅Si ndo yale yale ! tatizo lipo wapi?

So wazungu sawa ila wazanzibar hapana
Kwa hiyo ukikamatwa umeiba mali ya mtu kibabe ukafikishwa mahakamani utajitetea eti MBONA WIZI UPO TANGU ENZI NA ENZI? Utakwenda jela mapema sana aisee! Ni bora hata ukae kimya kuliko kutoa utetezi wa kitoto kama huo mkuu.
 
Duu Nchi inanua ardhi ndani ya Nchi nyingine na kuita eneo lake,asee mbona haya ni mambo ya ajabu kabisa.

Haya mambo yote yanatokana na kuwachukua Watanganyika kwenda kuongoza huko,sasa familia ya mzee mwinyi wameona watoe eneo lao kuwapa Zanzibar.
 
Kwa hiyo ukikamatwa umeiba mali ya mtu kibabe ukafikishwa mahakamani utajitetea eti MBONA WIZI UPO TANGU ENZI NA ENZI? Utakwenda jela mapema sana aisee! Ni bora hata ukae kimya kuliko kutoa utetezi wa kitoto kama huo mkuu.
Ishu je wanamiliki kwa uhalali ? sio mara Zanzibar hizi ni chuki.
 
1. SMZ ilipewa umilikaji wa muda gani?

2. Ilipewa kwa ajili ya kunenepesha mifugo kabla haijasafirishwa kwenda Znz. Sasa hivi mifugo-hai haipelekwi Znz, inapelekwa nyama iliyotayari, sasa kwanini ardhi hiyo isirejeshwe Bara kupangiwa matumizi mengine? Baada ya shamba kuwa halitumiki hadi kuwa pori, sheria ya Bara inasema inaweza kurejeshwa serikalini kwa sababu haiendelezwi.

Hao Ecoenergy walikuwa na ubia na serikali, inasemekana walitumia dhamana ya ardhi hiyo kukopea ela kwenye masoko ya mitaji ng'ambo ya bahari bila mbia mwenzao serikali kujuwa.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…