Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu
Huwa haipo hivyo. Unatakiwa uwe makini kutetea hoja yako na siyo kuja na majibu ya mkato ya sentensi moja. Kama na wewe hujui basi minya
We unajua na ardhi ni yao ! kama unabisha sio yao leta ushahidi .

Na bado wapp wazungu wana miliki ardhi kubwa na hakuna kitu utafanya.
 
We unajua na ardhi ni yao ! kama unabisha sio yao leta ushahidi .

Na bado wapp wazungu wana miliki ardhi kubwa na hakuna kitu utafanya.
Hivi wazungu kumiliki ardhi kunahalalishaje wazanzibar kuchota ardhi ya Tanganyika kibabe?
 
Leo nimekutana na clip ya Chars Hilary akiongea akitanabaisha kuwa kuna hekta elf 6 wilayani Bagamoyo ni mali ya serikali ya Zanzibar na mtu kutoka bara haruhusiwi kufanya shughuli za aina yoyote ndani ya ardhi hiyo kwani sio mali ya serikali ya Tanzania bara.

Jambo hili limenisikitisha sana and sijajua inakuwaje wazanzibari wawe na ardhi yao Tanganyika wakati mtanganyika ukifika Zanzibar ni sawa umeenda Kenya tu.

======
Msemaji wa Serikali ya Zanzibari, Charles Hillary amesema Shamba la Zaba lililoko Makurunge wilayani Bagamoyo ni mali ya Serikali ya Zanzibar hakuna mtu anayeruhusiwa kufanya shughuli yoyote eneo hilo.

Msemaji amesema Zanzibar imemiliki eneo hilo lenye ukubwa wa hekta 6000 tangu mwaka 1977. Na amesema yoyete atakayeuziwa eneo katika ardhi hiyo hatalipwa fidia.

Waziri wa ardhi ajitokeze aufafanulie uma wa watanganyika inawezekanaje? Zanzibar imiliki ardhi Tanganyika?
 
Hivi wazungu kumiliki ardhi kunahalalishaje wazanzibar kuchota ardhi ya Tanganyika kibabe?
😅😅😅Si ndo yale yale ! tatizo lipo wapi?

So wazungu sawa ila wazanzibar hapana
 
Sishangai, kwa sababu Nchi ina Raia wapumbavu haijawahi tokea, kutwa nzima ni Yanga na Simba unategemea nini? Yaani watu ni Yanga na Simba huku watawala wakiineemeka na keki ya ncni
Sasa mkuu kuna siku atakuja kutokea Rais kama Magufuli atafuta umiliki, wala usiogope na msije kumuita Dikteta tena.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Serikali ya China inamiliki ardhi kubwa tu USA kwahiyo sishangai.. umiliki wa ardhi Tanzania si kwa mtu/taasisi yoyote? kama sheria zenu wa kumiliki ardhi ni dhaifu hata Somalia itakuja kununua ardhi huku.
Sina hakika kama Mirembe inakuhusu? Lakini tunaheshimu uhuru na haki yako kikatiba kutoa maoni.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
😅😅😅Si ndo yale yale ! tatizo lipo wapi?

So wazungu sawa ila wazanzibar hapana
Kwa hiyo ukikamatwa umeiba mali ya mtu kibabe ukafikishwa mahakamani utajitetea eti MBONA WIZI UPO TANGU ENZI NA ENZI? Utakwenda jela mapema sana aisee! Ni bora hata ukae kimya kuliko kutoa utetezi wa kitoto kama huo mkuu.
 
Duu Nchi inanua ardhi ndani ya Nchi nyingine na kuita eneo lake,asee mbona haya ni mambo ya ajabu kabisa.

Haya mambo yote yanatokana na kuwachukua Watanganyika kwenda kuongoza huko,sasa familia ya mzee mwinyi wameona watoe eneo lao kuwapa Zanzibar.
 
Kwa hiyo ukikamatwa umeiba mali ya mtu kibabe ukafikishwa mahakamani utajitetea eti MBONA WIZI UPO TANGU ENZI NA ENZI? Utakwenda jela mapema sana aisee! Ni bora hata ukae kimya kuliko kutoa utetezi wa kitoto kama huo mkuu.
Ishu je wanamiliki kwa uhalali ? sio mara Zanzibar hizi ni chuki.
 
Ranchi of Zanzibar Bagamoyo


http://https//jamii.app/JFUserGuide › inde...
Je wajua kuwa Zanzibar inamiliki Hectare 28000 Tanganyika? Sasa ...

9 Apr 2014 · 11 posts · 9 authors
Eneo hilo lipo Bagamoyo na mipaka yake ni Mto Ruvu, barabara ya Msata, reli ya Tanga, mto Wami na bahari ya Hindi. SMZ walipewa

09-04-2014, 12:26
Kuna kitu ambacho naamini watu wengi hawajui. Hivi mnafahamu kuwa serikali ya mapinduzi Zanzibar inamiliki zaidi Hectare 28,000 Tanganyika? Unaweza kuendesha gari yako bila kuvuka maji na ukaingia Zanzibar?


SMZ walipewa zawadi eneo hilo na mwalimu Julius Nyerere ili kurahisisha upatikanaji wa nyama Zanzibar. Eneo lilitengwa kwa matumizi ya Ranchi na linaitwa Ranch of Zanzibar Bagamoyo (RAZABA)
@ Copyright reserved


Thecitizen.co.tz
https://www.thecitizen.co.tz › national
Dar land sharks target key deal in Bagamoyo

22 Apr 2021 — ... and handed the lease of occupancy for the 24,000-hectare former Ranch of Zanzibar in Bagamoyo (Razaba) to


More info :

RANCH OF ZANZIBAR BAGAMOYO abandoned by the Government of Zanzibar in 1994.

Bagamoyo EcoEnergy Project (BEE) has entered into a joint venture partnership with the Tanzanian Government and has been provided with 24,000HA of land by the GoT on the western part of the Ranchi ya Zanzibar (RAZABA ) area in Bagamoyo District Tanzania, which was abandoned by the Government of Zanzibar in 1994. The intention is to develop a green field sugar cane plantation on approximately 7800HA of land ...
Source : Tanzania - Bagamoyo Sugar Project - Executive RAP Summary
1. SMZ ilipewa umilikaji wa muda gani?

2. Ilipewa kwa ajili ya kunenepesha mifugo kabla haijasafirishwa kwenda Znz. Sasa hivi mifugo-hai haipelekwi Znz, inapelekwa nyama iliyotayari, sasa kwanini ardhi hiyo isirejeshwe Bara kupangiwa matumizi mengine? Baada ya shamba kuwa halitumiki hadi kuwa pori, sheria ya Bara inasema inaweza kurejeshwa serikalini kwa sababu haiendelezwi.

Hao Ecoenergy walikuwa na ubia na serikali, inasemekana walitumia dhamana ya ardhi hiyo kukopea ela kwenye masoko ya mitaji ng'ambo ya bahari bila mbia mwenzao serikali kujuwa.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom