Hakuna ubaya kucopy paste mjengo wa kiarabu. Ni sehemu ya historia yetu. Lugha yetu yenyewe na sehemu ya utamaduni wetu ni wa kiarabu. Aliyecopy paste ni mjanja wala si mshamba.
 
Kweli kabisa yule jamaa yako alikuwa mshamba sana. Kutosafiri kwa sababu ya kutojua kuongea kingereza kulimponza sana. Angekuwa kasafiri angeona ikulu za wenzetu zinafananaje. Afu pia ni mvivu wa kudadisi; hata ngeweza ku GUGU tu angepata ramani nzuri ya ikulu. Hata RC Makalla anamshinda akili.
 
M naona ni kawaida tu.
Mbona marekani, wingereza n.k wanamiliki visiwa afrika [emoji848]
 
Nadhani Comoorow nao wana ardhi Mtwara
 
Na vipi kama sisi kizazi cha sasa Vijukuu wa Nyerere tumegoma na hatutaki ardhi yetu iende kwa hao watoto wa mamdogo?!
 
Km wakenya wapo huko ifakara, kilosa, wanalima bila wasiwasi na kusafirisha mazao Yao mpk Kenya nn cha kushangaza Zanzibar kumiliki hizo hekari. Vijana wa hii nchi wapo usingizini fofofo
Hizi vitu huwa zinanipa hasira aiseee natamani kuacha kila kitu niende huko nikatembeze kichapo mkoa mzima.
 
Hii ni Zanzibar, Je tunajua Nini kuhusu bmakubaliano ya Muungano wa Nyerere na Karume?
 
Nchi gani ya serikali tatu ndio maana wazungu wanatuona nyani kwa akili hizi, muungano gani huu .

Raisi angekuwa mmoja wa jamuhuri ya muungano zenji ikagawanywa mikoa ya tanzania uko wakawekwa wakuu wa mikoa alikadhalika kama ilivyo uku.
Atakayeleta ubishi ni mwendo wa kutekwa na kupotezwa kama wanavyopotezwa wengine.
 
Na kwanini iwe sasa? Tangu mwaka 1977 katiba ina anzishwa sijui na tunapata sheria za ardhi zote mbili mwaka 1990s Kama sijakosea

Wanunue maeneo mengine hapo kama watu wame vamia au kuuziwa an una weza kuta na viwanja na hati zimetoka pia
Wanasheria wetu wa Tanganyika law Society wamelala tu mbwa wale.
 
TAIFA DOGO LIMELIMEZA TAIFA KUBWA.WATANGANYIKA TUAMKENI CCM IMETUINGIZA UTUMWANI. HAWA WAZANZIBARI WAKIWA WENYEWE WANATUTUKANA NA KUTUDHARAU SANA SISI WATANGANYIKA.
CCM ni tatizo. Huu muungano wao ndio wanamaslahi nao sisi raia hata hatuwaelewi.
 
Na vipi kama sisi kizazi cha sasa Vijukuu wa Nyerere tumegoma na hatutaki ardhi yetu iende kwa hao watoto wa mamdogo?!
Umiliki wa ardhi ni jambo la kisheria, huwezi kusema unakataa, ardhi ya Tanzania ni rukhsa kumilikiwa na yeyote as long as amefuata sheria, taratibu na kanuni, huwezi kumzuia yeyote kumiliki aridhi popote, ila umiliki wa ardhi yoyote ya Tanzania, kumilikiwa na yeyote, hakuibadili hiyo ardhi kuwa ni mali ya mmiliki, ardhi hiyo inaendelea kubaki ni ardhi ya Tanzania mpaka mwisho wa dunia. Kitendo cha SMZ kumiliki ardhi Tanzania, hakuifanyi Ardhi hiyo kuwa ni sehemu ya Zanzibar, ardhi hiyo ni ya Tanzania bara milele ila inamilikiwa na SMZ kwa milki tuu na sio sehemu ya Zanzibar!.
P
 
Kwann sasa upande wa Zanzibar wanakuwa na vikauli vya kinafiki nafiki, vikauli vya kulazimisha migogoro na kujitutumua wakati ni makabwela.

Yaani Zanzibar habari wanazotuletea huku ni kama vile Baba wa familia ajitolee kulea mtoto yatima amlete kwenye familia ya watoto wake wa kuwazaa halafu huyu mtoto yatima aanze kuwapangia Maisha hawa watoto halali wa huyu Msamaria mwema aliyempa hifadhi.

Unahisi mtoto yatima ana haki kuwashinda watoto halali?!


Sasa hawa wavaa kilemba sisi tokea lini wakaja kuwa na mamlaka juu ya ardhi yetu. Kumbuka ardhi sio sehemu ya mambo ya muungano, si tulikubaliana hilo au mimi nilielewa vibaya yale maneno?

Ifike hatua ninyi watu wazima mliotangulia umri mjue mnafanya kosa kubwa sana la kuwapotosha vijana wa Tanganyika huku mkiwalealea wafunga kilemba, sisi kama vijana wa hili taifa hatutacheka na ngedere yoyote anayesacrifice rasilimali za wadogo zetu kwa maslahi binafsi.

Ardhi hapa Tanganyika tunayo kubwa ila haimaanishi no ardhi ambayo ipo available kugawa kwa yoyote anayejiskia. Hiyo ardhi ni kwaajiri yetu Vijana Watanganyika na wadogo zetu na watoto wetu. Ninyi Wazee wetu mshafeli jukumu la kulinda taifa mnagawa gawa vitu hovyo, mafuta mnagawa, gesi mnagawa, madini mnagawa, pesa mnaharibu mnatuharibia jamii yetu taifa limewashinda kuendesha.


Waambieni hizo hekari 6000 hata kama ni kidogo hawataweza kukaa hapo na soon tutazichekecha makaratasi zisitambulike kuwa zao kwa sababu yoyote ile.

Huyu mama nae mimi simuelewi itikadi zake. Kwanza huu utaratibu wa kuwa na rais anatokea au kuwa na asili ya Zanzibar ufe, maana wakija Uzalendo kwa taifa wanapwaya sana hawana misuli ya kusimamia taifa.
 
Us*nge sana huu aisee inakera sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…