Ufanunuzi mzuri sana ulioutoa ,ila atu wamechukulia hiki swala kimhemko na ndio tatizo kubwa liliopo duniani kwa sasa ,hakuna kuchunguza uhalisia wa jambo ni kuibuka tu na kutoa maoni.
 
Nina hasira na hawa takataka aiseee huwa nashindwa hata pozi la kukaa babu.
 
Hawa ndio walikuwa watu wazima wakutetea Tanganyika na kuwatetea wajukuu zetu ila hawa ndio wamekuwa changamoto kuliko maelezo.
 
Wajinga sana. Najiuliza hawa watu wa media ingekuwa miaka ya ukoloni hivi wangethubutu hata kupiga nyimbo za madongo kwa wakoloni the way wazee wetu walijitoa miaka ile?!

Tuna majitu maoga sana miaka hii.
 
Hawa anatutafuta ipo siku watatupata.
 
Acheni usssenge
 
Nchi yetu sote...
 
it's very unfortunately siku hiyo haipo!. Tumeungana for life!.
P
Anko tunakuheshimu sana sasa naomba usitukosee heshima sisi wapwa. Inawezekana wewe ulikunywa maji ya bendera na kujiassociate na siasa na sera za miaka hiyo sisi huo upuuzi hatuwezi entertain hata kidogo.

Naomba ifike wakati sasa wa ninyi watu wazima ambao mnaelekea uzee kuwa maswala ya kitaifa kwasasa ninyi sio sole proprietorship haya ni maswala ya vijana na kizazi kijacho.
 
Niko paleee nimekaa kusubiri wazanzibari wakija na mitutu kutaka ardhi yao ya bagamoyo.
 
Kuna aliesema ni treaty ya mkoloni. Hiyo treaty inaingiaje 1977
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…