Zanzibar: Mwanaume afikishwa Mahakamani kwa kukata viuno hadharani

Labda WALINYEGESHWA!
Ila, kiuno cha KIUME, sijui kimewatesaje! Au, ni mwanamke. Lakini jina, la kiume. Bado, tunaambiwa alivaa MTANDIO! Huyo ni DUMEEE au JIKEEE?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo jamaa ni shoga maarufu hapa Zanzibar, hayo mambo hakuna sheria inayomzuia kufanya hivyo, huwa akienda mahakaman anaachiwa
Wanapoteza muda buree tyuuh. Waache watu na fantasy zao bhana.
 
Kama kukata kiuno ni kiashiria cha ushoga, basi Diamond Platinumz atakua ni shoga papa.
Wazanzibari wanafanya maisha yawe magumu.

Itoshe kusema Zanzibar ni Islamic State
Swaumu inawachanganya, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna kavideo chake miaka ya nyuma kidogo anahesabu shuka za kimasai..huku akimsifu basha'ake boda boda anajua kumtunza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah.
 
HUYU MWANA 2020 alijaribu kuchukua form ya kugombea U rais kupitia ccm walimpa kichapo kikali sana kilai kwelikweli ni shoga maarufu sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ana matashtiti sana eeeeh.
 
Kuna mwingine huku amekengeuka🐒👇

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…