Zawadi gani umewahi kumpatia mchumba wako akafurahi?

Nimependa..umempa dongo la j3 asbh kuwaza mapenzi,ila umempa na ushauri wa jambo lake.
 
Kwanza kabisa hakikisha hajui kama unampango wa kumpa zawadi (Napenda kufanya surprise sana).

Sasa kuwa makini sana na zawadi utakazopeleka, ukikosea utasababisha tafsiri mbaya sana. (NEGATIVITY).

kuna watu ukiwapelekea perfume atajihisi labda ananuka kikwapa.

Ukipeleka chupi.. atasema au jamaa kaona navaa chupi za buku.

Ila SAA au hereni au Cheni hazina tafsiri mabaya na ndio zawadi za Watu wanaojielewa..

Sasa, Nunua couples watch zinakuwa mbili hizi. ongeza bajet yako hapo ifike 70k then tafuta package nzuri sana.. mpelekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…