Ziara ya Rais Samia: Watanzania waishio Marekani waandamana kudai Katiba Mpya

Wewe ndio hamnazo yani mtu anayeomba haki ya mpendwa wake aliyepotea unamwita hamnazo jinga kabisa wewe. Ninani asietaka kumuona Ben sanane na Azory Gwanda wakiwa hai?
Kwani hao binadam ni spesheli sana kuishi.

Duniani tunapita haijalishi unakufa kwa njia gani.

Walikuwa wanahoji ujinga ni bora hata walipotezwa. Mtu unaakili timamu unahoji elimu ya mtu. Hayo ni masilahi ya Taifa? Jinga wewe!

Tuone kama hiyo katiba italeta maajabu?
hawajitambui hao
Wakae wafanye kazi
 
Hicho ndicho kilichowapeleka USA
Kumbe unaweza kuwa umetembea lakini hamnazo

Mwacheni mama afanye kazi yake.. tusipangiane.
Kazi ya rais sio kuachwa afanye kazi zake tu ni wajibu wake pia kukabikiana na changamoto za wananchi wake, hawezi ajiuzulu. Aache kuwakimbia. Utakimbiaje mabango katika nchi ya demokrasia?
 
 
Moderator what's this?.
 
Punguza ujinga basi.maana una ujinga hadi umezidi.
 

Picha hizo waonekana kabisa wanaijeria hao. Wao katiba mpya wanahitaji ili iweje. Nini hasa wamekosa ambacho wanamzidi mtanzania wa kawaida. Leteni Dollars hizo. Limeni mashamba makubwa achani Siasa. Marekani karibu kila mwezi Kuna kuaana tu.
 
Hiiii
 
Ushauri wangu kwa rais Samia, Mheshimiwa rais, Polisi wetu bado wana tabia mbaya za uuaji. Muondoe Sirro na pia badilisha jeshi la polisi. WANANCHI WASIO NA HATIA WATAPOTEA HADI LINI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…