Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alaaa kumbe haya ndio maandamano........🤔🤔🤔View attachment 2198349
Kufuatia Ziara ya rais Samia huko Marekani, wananchi waishio huko wameandamana kudai katiba mpya.
Watanzania hao walibeba mabango yenye ujumbe wa Kudai katiba mpya na Wengine kubeba mabango yanayotaka serikali imwachie huru Mwanasheria Peter Madeleka ambaye inasemekana amekamatwa na Polisi lakini hajulikani alipo(Jeshi la Polisi halijatoa taarifa rasmi)
Hapo juu nimeweka video ya maandamano hayo huko Marekani
Mdharau mwiba guy huota tende. Hata waanzilishi wa harakati za Uhuru walikuwa wachache ila Moto wao ulivuta wengi.Kikundi cha watu 10..hata hawana athari kabisa
Ni baadhi ya Watanzania tena wachache siyo Watanzania wanaoishi Marekani. Weka usahihi wa taarifa yako. Si umesema wengine walikuwa ndani Rais akiwahutubia! Ni haki yao ila . muhimu ni; mambo ya Tanzania yataamuliwa Tanzania siyo Washington wala 10 Downing street.🙏🙏🙏View attachment 2198349
Kufuatia Ziara ya rais Samia huko Marekani, wananchi waishio huko wameandamana kudai katiba mpya.
Watanzania hao walibeba mabango yenye ujumbe wa Kudai katiba mpya na Wengine kubeba mabango yanayotaka serikali imwachie huru Mwanasheria Peter Madeleka ambaye inasemekana amekamatwa na Polisi lakini hajulikani alipo(Jeshi la Polisi halijatoa taarifa rasmi)
Hapo juu nimeweka video ya maandamano hayo huko Marekani
Hicho ndicho kilichowapeleka USA
Kumbe unaweza kuwa umetembea lakini hamnazo
Mwacheni mama afanye kazi yake.. tusipangiane.
Hawana njaa kama weweKikundi cha watu 10..hata hawana athari kabisa
Hao machoraa wa USA ndo elites?wewe ni darasa la saba.... mabadiriko hayaletwi na proletariats, yanaletwa na a few elite ones who can integrate issues affecting their life
...mkubwa sana.big deal ni ujumbe
Mungu wabariki WazunguView attachment 2198349
Kufuatia Ziara ya rais Samia huko Marekani, wananchi waishio huko wameandamana kudai katiba mpya.
Watanzania hao walibeba mabango yenye ujumbe wa Kudai katiba mpya na Wengine kubeba mabango yanayotaka serikali imwachie huru Mwanasheria Peter Madeleka ambaye inasemekana amekamatwa na Polisi lakini hajulikani alipo(Jeshi la Polisi halijatoa taarifa rasmi)
Hapo juu nimeweka video ya maandamano hayo huko Marekani
[emoji38][emoji38][emoji38]
Kwani hao binadam ni spesheli sana kuishi.
Duniani tunapita haijalishi unakufa kwa njia gani.
Walikuwa wanahoji ujinga ni bora hata walipotezwa. Mtu unaakili timamu unahoji elimu ya mtu. Hayo ni masilahi ya Taifa? Jinga wewe!
Tuone kama hiyo katiba italeta maajabu?
hawajitambui hao
Wakae wafanye kazi
Kwanini Siro hakuwapiga?Marekani kuandamana siyo big deal!
Safi sn ujumbe umefikaView attachment 2198349
Kufuatia Ziara ya rais Samia huko Marekani, wananchi waishio huko wameandamana kudai katiba mpya.
Watanzania hao walibeba mabango yenye ujumbe wa Kudai katiba mpya na Wengine kubeba mabango yanayotaka serikali imwachie huru Mwanasheria Peter Madeleka ambaye inasemekana amekamatwa na Polisi lakini hajulikani alipo(Jeshi la Polisi halijatoa taarifa rasmi)
Pia walivaa T-Shirt zinazotaka haki itendeke kwa Ben Saanane, Azory, Gwanda etc
Hapo juu nimeweka video ya maandamano hayo huko Marekani
Hayo ni yale majinga yamejificha ndani ya CCMWewe ndio hamnazo yani mtu anayeomba haki ya mpendwa wake aliyepotea unamwita hamnazo jinga kabisa wewe. Ninani asietaka kumuona Ben sanane na Azory Gwanda wakiwa hai?
Kwa sababu hawakunywa mbege kabla ya kuandamana!Kwanini Siro hakuwapiga?
Jinga weweKwa sababu hawakunywa mbege kabla ya kuandamana!
Angalau mama akutane na changamoto kidogo pengine atarudi nyumbani sasa.View attachment 2198349