Ziara ya Rais Samia: Watanzania waishio Marekani waandamana kudai Katiba Mpya

Jiwe Yuko wapi siku hizi,hasikiki Sana.
 
Upeo wako wa mambo ni mdogo sana!!, Hivi unafikiri watu kuandamana ni big deal kama ulivyosema??. Big deal kwa waandamanaji ni kufikisha ujumbe wa was lengo la maandamano.
Hapo kuna ujumbe gani?

Kwa mfano aliyemuuwa Mawazo tayari yuko jela
 
Ukisoma maoni utaona kuwa lumpenproletariats ni asilimia kubwa.
Kazi inahitajika kufanyika.
 
Chuo Kikuu cha kata Manzese
Imekupotezea wakati. Hakuna elites waliofanikiwa kuleta mageuzi ya maana bila ya kushirikiana na proletariat. Hata Robespiere asingeweza kuuangusha utawala wa Mfalme wa Ufaransa bila msaada wa the proletariat.

Amandla...
 
Viongozi wetu wana ngozi laini kiasi gani? Hawawezi kuvumilia hata criticism kidogo!
 

Arudipo nyumbani kazi hii iendelee.

#tutaelewanatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…