TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

September to remember
 
Robert Heriel Mtibeli

MUKU
 
Kuna target inatafutwa....

We tulia tuu...tafuna popcorn angalia movie inavyokwenda
 
 
Alikuwa mfanyabiashara wa nini ?
 
Mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, na mke wake, Lucy “Lulu” Muteke, wamefariki dunia katika ajali ya helikopta iliyotokea leo, Septemba 30, 2026, katika eneo la Marondera, mashariki mwa Harare, Zimbabwe.

Serikali ya Zimbabwe, kupitia Msemaji Mkuu wa Serikali, Nick Mangwana, imethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kusema kuwa hakukuwa na manusura. Taarifa za awali zinaeleza kuwa watu kadhaa walikuwa ndani ya helikopta hiyo wakati ilipoanguka.

Chivayo alikuwa mfanyabiashara mwenye ushawishi mkubwa nchini Zimbabwe na alifahamika pia kwa ukaribu wake na viongozi na watu mashuhuri barani Afrika, pamoja na shughuli zake za kutoa misaada na michango mbalimbali. Ripoti za hivi karibuni zimeeleza kuhusu uhusiano wake wa karibu na viongozi wa kisiasa na kidini nchini Zimbabwe.

Chanzo :Manara TV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…