TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

Polepole alizungumza kuhusu jamaa kuingia ikulu na kukaa mikao ya ajabu kama yupo kwake, pia akazungumza kuhusu jamaa na Samuya kukumbatiana....

Jamaa kaenda kumuona Eda wamerudia Tena kwa makusudi na kiburi, na picha zikapigwa zika postiwa...

Sasa kiburi na dharau vipo wapi?
 
Wafiwa kutoka Tanzania tushaandaliwa ghorofa letu la kupumzika 😹😹😹

Nasikia Rick Ross yuko njiani kwaajili ya kutumbuiza na ameambiwa aje na belaire za kutosha..!! 😹😹

Mimi hata baada ya 40 sirudi mpaka mirathi igawiwe ndo ntarudi..!!
Wanipe urisi wangu hata G Wagon nije kutambia bongo..!! 😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…