TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

"Sitting in a sandpit, life is a short trip / The music's for the sad man"
 
RIP Bonge, Chivayo, isingekuwa ni eddah, kuna mtu angehudhuria maziko!.
"Nimeamini, yanayosemwa na watu, ni kweli, wanaopendwa na wengi, hufa wangali vijana!" - Patric Balisodya na Afro 70 Band na mtindo wao wa Afrosa.

Huyu Bonge ni kijana mdogo tuu, ila mwili tuu!.!,Tena baada ya jimbo kuwa wazi, kuna watu wenye akili fupi, walianza kudhania... !

Kiukweli mimi binafsi nimeumizwa na msiba huu, kwasababu, nilikuwa na jambo langu binafsi na huyu mtu, ila kabla sijamfikia, ndio hivi tena!.

Naomba kutoa angalizo kwenu kwa hawa mabilionea wetu, wenye mysterious billions, akiwemo Chief Godlove, Bilionea Saidi Lugumi, Bilionea, Davis Mosha, Bilionea Fred Vunja Bei, they are all connected, kwanza wote hawana wake, they are most eligible singles, they have the money, the cars, the lavish homes, but they end up dying mysterious deaths, angalia vifo vya mabilionea wetu, Deo Filikunjombe, yule bilionea wa Nyatco, Bilionea Yusuf Manji, Bilionea Ally Mfuruki, Bilionea Mutie Mengi, Bilionea mtoto wa Bakhresa, Bilionea Getrude Lwakatare, all were singles!, kuna ka connection fulani cha ubilionea na kuishi single, na vifo vya ajali, or mysterious disease!.

Sometimes bora kuwa masikini but you live long life, happy with wife and family, kuliko kuwa bilionea, you live single na kufa ghafla.

Tulikupenda Chivayo, Mungu amekupenda zaidi!, kuna mtu amefiwa na double deaths!. Pia tumpe Pole!.

Mzee Pasco!,
 
Malipo ni hapa hapa ila matajiri wa zimbabwe vifo vyap ni ajali na wanaondoka vijana na malizao walivyozipata huwa ni giza nene.
 
Yeye ndie alileta kontena la silaha zikaja kuwaua ndugu zetu 😭😭😭😭
Unakumbuka Kuna makam aliwahi husishwa na kufadhili silaha waaasi wa kongo wakamsepesha!!?

Inaonekana ukifadhili mauaji na wewe unauawa hivi yule Bosco ntaganda (sikumbuki kama ni jina halisi) Aliefadhili silaha kule Rwanda kwenye mauaji ya kimbari Bado anadunda!!?
 
Watu wakaribu na Maza wengi watadanchi siku si nyingi na kutengeneza uzuni mwingi sana kwake...."alisikika Nabii moja akisema"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…