TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

Hii sio misheni ya igo kweli?
 
Sasa hivi nitajitahidi sana kuepuka vyombo vya moto nitatembea kwa miguu.

Mke wake alikuwa very innocent. Wameumaliza mwendo wamewaachia hela wanaopumua wazitumbue.
Utasikia maneno ya maskini hata ukijikwa tu, 'Tafuta hela'
Haya kiko wapi sasa

Ndio manaa watu wakirithi pesa na Mali huwa wanazitumbua bila mpangilio man waliozitdut wakuzipta wanatuona kama wajingaπŸ˜‚
 
Ukiwa hauna hela unatafuta six park, ukiwa na hela unatafuta tumbo na minyama kama Chivayo
 
Tumekuwa double yatima!
Nawaambiaga watu acheni hizo mambo za kusafiri familia nzima kwenye chombo cha moto ni risk sana

Hata nikija TZ mimi nakata tiketi yangu wife yake na watoto zangu kila mmoja na yakeexcept huyu wa mwisho asiejua kitu

Mama aanze kujifunza

Mlango ni wake ….. when you see your people are dying … know the time is not right
Muda ni hakimu

Diamond aache mbwembwe za kubeba whole family

Nimesikitishwa na kifo cha Young with his family

Sad
 
Ulimpenda wewe mimi simo humo kwa walio mpenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…