TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

Babu bhana eti 40 mdogo kisa wewe 40 age go 😂 😆
Oyaa vipi huko kiwalani? Ila bwana mdogo jitahidi uwe unaniheshimu. Sasa hivi nataka kuachana na upuzi. Nataka kurudi shule japo umri umeenda nataka nirudie tena four ya huku hadi six yao. Nikimaliza nataka kwenda vocational school. I just want to live a meaningful life.
 
Ukiachana na Wicknell Chivayo, Zimbabwe iliwahi pia kuwa na huyu jamaa kijana mwenye pesa nyingi mno "Genius Ginimbi", jamaa alikuwa ana ma rollys Royce kama uchafu, aliishi maisha ya anasa na kufanya party za kila aina

Cha kusikitisha nae alikufa kwenye ajali yenye utata, kifo cha ghafla. Baada ya kufariki hadi magari yake yalianza kuwaka moto yenyewe

Life is good and too short

Nadharia za mitandaoni zilimhusisha na utajiri wa masharti (majin)

Kiufupi usitamani utajiri wa mtu, hujui chanzo cha utajiri wake huenda kuna mengi yamejificha, utajiri una siri nyingi na ndio maana matajiri ni wachache mno

YBWYB
 
Umeongea ukweli ila Mtu mwingine atasema ni maneno ya kujifariji kwa masikini,
 
Siwezi kukunyima like umemaliza kila kitu assume unakufa kwenye ajali mbaya zaidi hujafanya tobaya msamaha Wa dhambi zako
 
Siwezi kukunyima like umemaliza kila kitu assume unakufa kwenye ajali mbaya zaidi hujafanya tobaya msamaha Wa dhambi zako
Ni tukio la kustaajabisha!

Saa chache tu kabla ya kupoteza maisha yake katika ajali mbaya ya helikopta huko Marondera, bilionea wa Zimbabwe Wicknell Chivayo alitoa vibunda vya kihistoria kwa mawakili wake wa muda mrefu. 🚁💸

Bilionea huyo aliwazawadia mamilioni ya pesa taslimu zinazokadiriwa kufikia bilioni 1.94, sambamba na magari mawili ya kifahari ya mwaka 2026—ikiwemo Lexus GX 550 ya takriban milioni 571 na Range Rover Sport Autobiography ya milioni 300.

Muda mfupi baada ya kutoa zawadi hizi, Chivayo aliripotiwa kufariki dunia kwenye ajali hiyo iliyoangamiza maisha ya abiria wote waliokuwemo ndani ya chombo hicho.

Hii unakuwa ni moja ya matukio ya kushangaza zaidi ya mtu mashuhuri kutoa vibunda virefu muda mfupi kabla ya janga kubwa.


.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
 
Yess upo sahihi
Kifo cha tajiri hakitufundishi kwamba pesa ni mbaya; kinatukumbusha kwamba pesa ni sehemu ya maisha, si mwisho wa maisha. Vijana tusikimbilie utajiri tukasahau afya, familia, utu na muda. Mwisho wa safari, kila mmoja ataacha kila alichokusanya—cha muhimu ni namna alivyoishi na alichowaachia wengine. Mungu atupe maisha marefu na yenye maana.

Kuna siku itaanza itakukuta haupo duniani
 
Good ungeelezea baadhi ya hayo tusiyajua hizo hela alikua anakupa wewe au alikua anampa Mama yako?

 
Chopa ikipata hitilafu kidogo tu ndo gudubai
Kuna Billionaire mmoja Ufaransa alikuwa anauza shamba lake kubwa sana na Bonge la nyumba ya kifahari
Aliekuwa analinunua ni Billionaire la Kichina toka Hongkong akiwa na mahoteli na mashamba ya Chai
Waliondoka wakiwa Pilot ambae ndio mwenye mali na Mchina na mtoto wake pamoja na mkalimani wake

Mke wake Mchina aligoma kupanda akisema anaogopa sana helicopter
Akiwa anaangalia jinsi wanavyopaa mara ilianguka na kuwauwa wote
Mke kaponea chupuchupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…