Acha kujimwambafy kishetani kuwa una matusi ya kishamba, hapa ndipo makao makuu ya matusi ya kujenga ya kutoa mwanga achana na matusi yako ya mwaka 1832 ambayo hayaisaidii CCM kuondokana na ushetani wakeMatusi yako hayanitishi aunt.
Naweza kukurarua na matusi ambayo hujawahi pewa tangu uzaliwe.
Leo nakuacha kwa kuwa tupo kene furaha ya ushindi!
Aisee, sikujua kama na hii ni JF ID yako. Pole Mkuu.Uchaguzi upi imekwisha? Kulikuwa na uchaguzi wapi? Kwa Tume ipi? Hakuna uchaguzi Tanzania kuna vioja vya
Bila wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi angefikaje huko Belgium?Magufuli harogeti sister, Kama jamaa kaweza kutumbua mijipu iliyoshindikana ni dhahiri zito atulie tu afungue kibanda cha twisheni kufundisha uchumi.
Na yule ndugu yetu naye ni heri asiende ubelgiji maana akienda tu Uenyekiti ataukosa.
Usiongee uongo Huyu alipewa hakubaliki wala hajulikani huu uchaguzi ni kiini macho. . mnafurahia kwenda kusinzia bungeni nakusema ndiooo aibu sana demokrasia ya kuoza ndio hiiNilitembelea Kigoma mwezi Januari nikaongea na wanakigoma wengi walisema kuwa kama CCM watamweka mgombea anayekubalika lazima Zitto apotee kwenye ulingo wa siasa Kigoma. Kweli vijana wa Kigoma walinieleza ukweli. Na Zanzibar Maalim ameshindwa uchaguzi.
Esther Matiko yeye kashinda ama ?Magufuli harogeti sister, Kama jamaa kaweza kutumbua mijipu iliyoshindikana ni dhahiri zito atulie tu afungue kibanda cha twisheni kufundisha uchumi.
Na yule ndugu yetu naye ni heri asiende ubelgiji maana akienda tu Uenyekiti ataukosa.
Laana zenu... haha maneno ya wakosajiKutokana na laana na manung'uniko ya watu, hili Bunge litakumbwa na mikosi mpaka watajuta.
Humu ni Hoja tu ID za nini? Komaa na hoja tu kama huna hoja ingia kwa cyprian Musiba endelea kuvuta Bangi waachie CCM waendelee kutetea ufedhuri wao na sisi tutawajibu vizuriAisee, sikujua kama na hii ni JF ID yako. Pole Mkuu.
Wakosaji wapi lini? Kuna aliyekosa? Kwani kuporwa kitu na CCM ni ukopaji? Mwizi akikuibia unajipanga unamkabili vizuriLaana zenu... haha maneno ya wakosaji
Ha ha haaaa! Aisee, Mkuu nadhani na wewe ule ushauri niliompa Sexless hapo juu post number 81 ya uzi huu unaweza kukufaa. Kila la heri.Humu ni Hoja tu ID za nini? Komaa na hoja tu kama huna hoja ingia kwa cyprian Musiba endelea kuvuta Bangi waachie CCM waendelee kutetea ufedhuri wao na sisi tutawajibu vizuri
Wananchi hawana makosa wamechagua wapinzani vizuri kabsa lakini NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm ndiyo wamepora ushindi kwa njia haramu za kishetaniwananchi wanaroho mbaya sana kuliko wajumbe
Acha kujimwambafy kishetani kuwa una matusi ya kishamba, hapa ndipo makao makuu ya matusi ya kujenga ya kutoa mwanga achana na matusi yako ya mwaka 1832 ambayo hayaisaidii CCM kuondokana na ushetani wake
Imetangazwa muda huu, Mrisho Gambo amepata kura elfu 82 na Lema amepata kura 46Arusha vp wakuu!??
Bado ila Heche ametimuliwa arudi kufundisha shule ya msingi alikokuwa nafundisha.Esther Matiko yeye kashinda ama ?
Haya matusi ya kibwege ya kishamba hutumiwa na wavuta Bangi wala unga ni matusi yamepitwa na wakati ulimwengu wa sasa hawatumii matusi ya kishamba kama yako jenga hoja acha ufala wewe mbwehaUshetani unaanza kene jina lako.
Unatafuna mpaka ukoo wako.
Wewe mbwa koko.
Huwezi kunibwekea mimi we matako!
Zitto ana nguvu kubwa sana kuliko unavyofikiria hub ulikuwa uteuzi na sio uchaguzi MZEE. Jamaa yenu mliempa hana hamasa wala nguvu ndani ya mkoa zaidi ya nyumbani kwake usiwe unadanganya watu wote wenye kujielewa wako na zittoHuu ni ukweli usio na shaka.
Kigoma is my home, nimetoka huko mwezi uliopita nimeshangaa sana kuona watu hawataki kusikia habari ya Zitto wala Mzito.
Yaani ndugu yangu amechokwa!