Zitto Kabwe: Hayati Magufuli alikuwa ananichukia

Wana baraka zote kutoka Msoga. Huwezi kuwafanya lolote, utawala wa vitisho ulishaangushwa na Mungu wa kweli.
 
Dust, jiwe inabidi wamsagie kinguni hata kama hayupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waongeee tu ila kuna siku watakaa na kukiri kua tangu tupate marais ukimtoa baba wa taifa ni Jembe Magufuli ..tinga tinga yule jamaa achana nae kabisa ameitengeneza tanzania kwa miaka sita ikapendeza kwa miladi kibao ww ulipo huko ni shahidi ila kwa kua binadam hatuna shukrani tumejaa hila na kuhesabu mabaya tu.Namuombea sana Mungu ampunguzie adhabu za kaburi
 
Wewe ndio udini uakusumbua.
 
Wanataka kulazimisha legacy ambayo kimsingi hatuioni
 
Magufuli alichukia wengi kwa chuki ya kifo!
 
Ukiona mtu anapost ujinga kama wa mleta mada jua kuwa ni mwana sukuma gang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…