NO. wanadai kusiwepo uonezi kwenye mchakato wa NEC kupitisha majina ya wagombea.Kwahiyo anatuchimba mkwara kwamba ni lazima wagombee na lazima washinde?
Huu pia ni uchozezi!
ZZK ni mchochezi sana, mfano Benard Membe na Tundu Lissu wasipopitishwa, sijajua wamepanga kufanya nini hadi uchaguzi usiwepo?, hivi ni vitisho!. Pale raia wa kawaida anapoitisha serikali, dola na nchi, hili sio tishio dogo.
Hii sio mara ya kwanza kwa Zitto Kabwe kufanya uchochezi.
Zitto Zuberi Kabwe Ni Mchochezi, Akamatwe, Ashitakiwe Kwa Uchochezi, Adai Rais Magufuli ni...
P
Wako unaonuka kinyesi msafi afu una maneno ya shombo wewe jibaba itakuwa unasumbuliwa na stress za ndoa sio bure maana wanaume wenye gubu kama nyie hamnaga la maana zaidi ya maneno machafuVipi mkuu unaota? Kwa taarifa zilizochini ya kapeti Huyo jamaa yenu mwenye mdomo mchafu kama tundu Fulani lazima aenguliwe
Tutaona kama mtaandamana
Hoja gani ya Lisu ya kujibiwa na CCM? Mlipo lalia ndipo walipoamkia [emoji2][emoji2]Lissu Game Changer si unaona CCM hakuna hoja hata moja waliyoijibu sio Polepole wala Bashiru na hakuna wa kujibu.
Wasiwasi wao nini kama viongozi waliowatewa wanakidhi vigezo vyote, na kama hawakidhi vigezo Kwa nini wawateue ina maana lengo lao hasa ni kuligawa Taifa kupitia NEC? Najiuliza tu kimoyomoyoZitto kaandika kupitia ukurasa wake wa Twitter.
NEC wachukue tahadhari sana wasifanye huu upuuzi ambao haujawahi kufanywa katika uchanguzi wowote mkuu huko nyuma tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Kwa muktadha wa hii tweet ya Zitto Kabwe, NEC ikifanya hivyo inaweza kulipasua taifa vibaya sana!
The guy is absolutely empty in the headJaji Kaijage is conscious of the legacy he will leave for himself, his offsprings and the country at large as the NEC chairman; he cannot afford to make a decision that will tear the country asunder!
ila pascal kuna muda Dish lako linayumba, kichwa kinabaki hewa
Empty headed
Watu wakiamua kuingia barabarani wataingia tu, hakuna wa kuwazuia.Na Kama mtakosa sifa mnaenda kuenguliwa na hakuna mtu yoyote atakayeweza kuingia barabarani.
Hadi muda Kuna wagombea 19 wa wachadema wamekosa sifa, muda si mrefu wanaondolewa halafu muingie barabarani.
uchaguzi wa serekali za mitaa mwaka jana!Wasiwasi wao nini kama viongozi waliowatewa wanakidhi vigezo vyote, na kama hawakidhi vigezo Kwa nini wawateue ina maana lengo lao hasa ni kuligawa Taifa kupitia NEC? Najiuliza tu kimoyomoyo
Ya ccm na wajinga kama musiba huyaoni na huyakemei. Uchochezi unatoka upinznai lkni huko kwenye chama chama chá majani ya migomba (ccm) huyaoni. Mnalolitafuta mtalipata. Jiangalieni japo mawazo yenu na hoja zenu kwanza zinabase zaidi kwenye vyombo vya dola lakni yanamwisho kwa vile dunia inamwisho na ccm inamwisho.Huu pia ni uchozezi!
ZZK ni mchochezi sana, mfano Benard Membe na Tundu Lissu wasipopitishwa, sijajua wamepanga kufanya nini hadi uchaguzi usiwepo?, hivi ni vitisho!. Pale raia wa kawaida anapoitisha serikali, dola na nchi, hili sio tishio dogo.
Hii sio mara ya kwanza kwa Zitto Kabwe kufanya uchochezi.
Zitto Zuberi Kabwe Ni Mchochezi, Akamatwe, Ashitakiwe Kwa Uchochezi, Adai Rais Magufuli ni...
P
Say who!? Uchaguzi utakuwepo🤣😂🤣!Zitto kaandika kupitia ukurasa wake wa Twitter.
NEC wachukue tahadhari sana wasifanye huu upuuzi ambao haujawahi kufanywa katika uchanguzi wowote mkuu huko nyuma tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Kwa muktadha wa hii tweet ya Zitto Kabwe, NEC ikifanya hivyo inaweza kulipasua taifa vibaya sana!
Hakuna uchaguzi ni maigizo
KabisaKanuni na sheria ccm na serikali yake walizojiwekea ili kutawala milele ni recipe for the disintegration of peaceful Tanzania!!
Kizazi cha Leo ambao waliosoma na wasiosoma hawana uhakika wa maisha yao hawatakuwa wavumilivu kama kizazi kilichopita cha wazazi wao; hivyo itabidi wajiongeze kwa kutumia lugha yao! Dalili zinaonesha Kuwa kwa mtindo huu wa kuwalaghai wanannchi na maigizo ya uchaguzi uliopangwa matokeo,huko mbele kiza ni kinene sana!!!
Sasa pasipokuwa na uchaguzi maana yake viongozi watabaki kuwa wale wale. Kwasababu wasitegemee sisi watanzania tutaandamana eti kwa kuwa lisu au mdee kakatwa ninavyowajua watanzania hakitatokea chochote itabaki kulalamika tuZitto kaandika kupitia ukurasa wake wa Twitter.
NEC wachukue tahadhari sana wasifanye huu upuuzi ambao haujawahi kufanywa katika uchanguzi wowote mkuu huko nyuma tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Kwa muktadha wa hii tweet ya Zitto Kabwe, NEC ikifanya hivyo inaweza kulipasua taifa vibaya sana!
[SUB]Kama mtu[/SUB]
Kama mtu unaweza ukagombea nafasi na ukaambulia kura moja tu, then wewe ni mtu wa kupuuzwa tu. Hakuna anayeweza kukuchukulia serious.
Zitto kaandika kupitia ukurasa wake wa Twitter.