Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikiwaengua wagombea wa upinzani kwenye Urais & Ubunge kwa sababu za kubumba, Hapatakuwa na Uchaguzi

Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikiwaengua wagombea wa upinzani kwenye Urais & Ubunge kwa sababu za kubumba, Hapatakuwa na Uchaguzi

Kwahiyo anatuchimba mkwara kwamba ni lazima wagombee na lazima washinde?
NO. wanadai kusiwepo uonezi kwenye mchakato wa NEC kupitisha majina ya wagombea.

kumbuka kuwa wanajihami (na mimi nimewaelewa) ili yasitokee kama yaliyotokea kwenye uchaguzi wa serekali za mitaa mwaka jana. hata wewe ungekuwa kwenye viatu vyao nina uhakika ungefanya hivi hivi or worse!
 
Vipi mkuu unaota? Kwa taarifa zilizochini ya kapeti Huyo jamaa yenu mwenye mdomo mchafu kama tundu Fulani lazima aenguliwe

Tutaona kama mtaandamana
Wako unaonuka kinyesi msafi afu una maneno ya shombo wewe jibaba itakuwa unasumbuliwa na stress za ndoa sio bure maana wanaume wenye gubu kama nyie hamnaga la maana zaidi ya maneno machafu
 
Lissu Game Changer si unaona CCM hakuna hoja hata moja waliyoijibu sio Polepole wala Bashiru na hakuna wa kujibu.
Hoja gani ya Lisu ya kujibiwa na CCM? Mlipo lalia ndipo walipoamkia [emoji2][emoji2]
 
Zitto kaandika kupitia ukurasa wake wa Twitter.

NEC wachukue tahadhari sana wasifanye huu upuuzi ambao haujawahi kufanywa katika uchanguzi wowote mkuu huko nyuma tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Kwa muktadha wa hii tweet ya Zitto Kabwe, NEC ikifanya hivyo inaweza kulipasua taifa vibaya sana!

Wasiwasi wao nini kama viongozi waliowatewa wanakidhi vigezo vyote, na kama hawakidhi vigezo Kwa nini wawateue ina maana lengo lao hasa ni kuligawa Taifa kupitia NEC? Najiuliza tu kimoyomoyo
 
Jaji Kaijage is conscious of the legacy he will leave for himself, his offsprings and the country at large as the NEC chairman; he cannot afford to make a decision that will tear the country asunder!
The guy is absolutely empty in the head
 
Mimi sidhani kama wanaweza kufanya kama kwenye uchaguzi wa serekali za mitaa alivyofanya.
 
Na Kama mtakosa sifa mnaenda kuenguliwa na hakuna mtu yoyote atakayeweza kuingia barabarani.

Hadi muda Kuna wagombea 19 wa wachadema wamekosa sifa, muda si mrefu wanaondolewa halafu muingie barabarani.
Watu wakiamua kuingia barabarani wataingia tu, hakuna wa kuwazuia.

Jambo la muhimu kama Taifa, na ile twende vizuri, ni muhimu sana kufuata sheria bila ubaguzi.

Wakienguliwa kwa haki, hakuna wa kulalamika lakini wakienguliwa kwa namna zile za kijinga, za miaka yote, tutakataa. Na ndipo kila mmoja, pamoja na watawala, watajua kuwa Tanzania ni ya Watanzania wote.

Umuhimu wa sheria, kanuni na miongozo ni pale tu kunapokuwa na usawa katika utekelezaji. Kunapokuwa na ubaguzi au upendeleo, ni muhimu umma kutumia njia zozote zinazowezekana kupinga hali hiyo.

Serikali au kiongozi akibagua, wananchi wana haki ya kumwadhibu kwa namna watakayoona inafaa. Huwezi kutumia tena sheria au vyombo vya sheria na kiutawala kwa sababu tayari vyombo hivyo vinakuwa vimenajisiwa na ubaguzi au upendeleo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasiwasi wao nini kama viongozi waliowatewa wanakidhi vigezo vyote, na kama hawakidhi vigezo Kwa nini wawateue ina maana lengo lao hasa ni kuligawa Taifa kupitia NEC? Najiuliza tu kimoyomoyo
uchaguzi wa serekali za mitaa mwaka jana!
 
Huu pia ni uchozezi!

ZZK ni mchochezi sana, mfano Benard Membe na Tundu Lissu wasipopitishwa, sijajua wamepanga kufanya nini hadi uchaguzi usiwepo?, hivi ni vitisho!. Pale raia wa kawaida anapoitisha serikali, dola na nchi, hili sio tishio dogo.

Hii sio mara ya kwanza kwa Zitto Kabwe kufanya uchochezi.
Zitto Zuberi Kabwe Ni Mchochezi, Akamatwe, Ashitakiwe Kwa Uchochezi, Adai Rais Magufuli ni...

P
Ya ccm na wajinga kama musiba huyaoni na huyakemei. Uchochezi unatoka upinznai lkni huko kwenye chama chama chá majani ya migomba (ccm) huyaoni. Mnalolitafuta mtalipata. Jiangalieni japo mawazo yenu na hoja zenu kwanza zinabase zaidi kwenye vyombo vya dola lakni yanamwisho kwa vile dunia inamwisho na ccm inamwisho.
 
Zitto kaandika kupitia ukurasa wake wa Twitter.

NEC wachukue tahadhari sana wasifanye huu upuuzi ambao haujawahi kufanywa katika uchanguzi wowote mkuu huko nyuma tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Kwa muktadha wa hii tweet ya Zitto Kabwe, NEC ikifanya hivyo inaweza kulipasua taifa vibaya sana!

Say who!? Uchaguzi utakuwepo🤣😂🤣!
Kama Kuna mtu wa kumkata mkia jaji asiwe na ajizi.. akate TU maana Kuna vyama havikufanya homework kabla ya kupotosha wagombea wao...tafadhali Sana jaji washikishe adabu ili wajifunze🤣😂🤣!
 
Kwa ujumla kufuatana na historia ya utendaji kazi wa Tume ya Uchaguzi na Jeshi la Polisi, hakuna anayevitegemea vyombo hivi kutenda haki.

Huko nyuma, vyombo hivi viwili vilifanikiwa sana kudhulumu haki za wapiga kura na wapigiwa kura wa vyama vya upinzani. Walifanikiwa sana kwa sababu baadhi ya watu walikuwa bado na imani navyo.

Kwa sasa kila mmoja anajua ubaya na uovu wa Tume ya uchaguzi na Jeshi la Polisi wakati wa uchaguzi. Hata Hayati Rais Mstaafu Benjamin Mkapa amelinena katika kitabu chake kuwa angependa kuona Tanzania ikiwa na Tume Huru ya Uchaguzi.

Kwa hiyo wananchi, kifikra na kisaikolojia wanatambua kuwa watatendewa uovu na vyombo hivi viwili wakati wa uchaguzi. Na wananchi wamejiandaa kwa hilo. Wananchi hatutashtuka NEC na Polisi watakapoufanya uovu, tutashangaa kama watatenda haki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna uchaguzi ni maigizo

Kanuni na sheria ccm na serikali yake walizojiwekea ili kutawala milele ni recipe for the disintegration of peaceful Tanzania!!
Kizazi cha Leo ambao waliosoma na wasiosoma hawana uhakika wa maisha yao hawatakuwa wavumilivu kama kizazi kilichopita cha wazazi wao; hivyo itabidi wajiongeze kwa kutumia lugha yao! Dalili zinaonesha Kuwa kwa mtindo huu wa kuwalaghai wananchi na maigizo ya uchaguzi uliopangwa matokeo,huko mbele kiza ni kinene sana!!!
 
Kanuni na sheria ccm na serikali yake walizojiwekea ili kutawala milele ni recipe for the disintegration of peaceful Tanzania!!
Kizazi cha Leo ambao waliosoma na wasiosoma hawana uhakika wa maisha yao hawatakuwa wavumilivu kama kizazi kilichopita cha wazazi wao; hivyo itabidi wajiongeze kwa kutumia lugha yao! Dalili zinaonesha Kuwa kwa mtindo huu wa kuwalaghai wanannchi na maigizo ya uchaguzi uliopangwa matokeo,huko mbele kiza ni kinene sana!!!
Kabisa
 
Zitto kaandika kupitia ukurasa wake wa Twitter.

NEC wachukue tahadhari sana wasifanye huu upuuzi ambao haujawahi kufanywa katika uchanguzi wowote mkuu huko nyuma tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Kwa muktadha wa hii tweet ya Zitto Kabwe, NEC ikifanya hivyo inaweza kulipasua taifa vibaya sana!

Sasa pasipokuwa na uchaguzi maana yake viongozi watabaki kuwa wale wale. Kwasababu wasitegemee sisi watanzania tutaandamana eti kwa kuwa lisu au mdee kakatwa ninavyowajua watanzania hakitatokea chochote itabaki kulalamika tu
 
[SUB]Kama mtu[/SUB]

Kama mtu unaweza ukagombea nafasi na ukaambulia kura moja tu, then wewe ni mtu wa kupuuzwa tu. Hakuna anayeweza kukuchukulia serious.

Mayalla inabidi awe mpole tu siku hizi kwani hata JIWE amekwisha mpuuza; huwezi kumteua mtu ambae hauziki kwenye chama kwani itakuwa sawa na kubeba gunia la misumali!!!
 
Zitto kaandika kupitia ukurasa wake wa Twitter.

NEC wachukue tahadhari sana wasifanye huu upuuzi ambao haujawahi kufanywa katika uchanguzi wowote mkuu huko nyuma tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Kwa muktadha wa hii tweet ya Zitto Kabwe, NEC ikifanya hivyo inaweza kulipasua taifa vibaya sana!

Waache tu NEC watikise tu Ammonium Nitrate tu kitokee cha BEIRUT.
 
Back
Top Bottom