M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
- Thread starter
- #81
NO. wanadai kusiwepo uonezi kwenye mchakato wa NEC kupitisha majina ya wagombea.Kwahiyo anatuchimba mkwara kwamba ni lazima wagombee na lazima washinde?
kumbuka kuwa wanajihami (na mimi nimewaelewa) ili yasitokee kama yaliyotokea kwenye uchaguzi wa serekali za mitaa mwaka jana. hata wewe ungekuwa kwenye viatu vyao nina uhakika ungefanya hivi hivi or worse!